Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

labda kusindikiza msalani kukojoa... kwani nyinyi mmetafsiri vipi..?
 
Wacha tuone mwisho wa hii sinema ili tujue kati ya mwanamke au mwanaume nani anaetakiwa akate kiuno kama suala ni kumkojoza naye pia kakojozwa maana alikua hapigi mkono zipo jinsia mbili hapo
 
JD maskini alijua ameolewa na mwanaume kumbe miaka yote aliishi na mvulana. Tena teenager.
jide karopoka weeeee!! hamkuona ubaya,naona hili neno litawaonesha kwamba MTU kukaa kimya sio mpumbavu.
 
cha kusikitisha zaidi gadner ni baba wa mtoto aliye chuo mwaka wa kwanza hivi sasa,
 

Ushaona jinsi wanawake wanavyotukanana humu? Au jinsi wanavyowatukana wanawake wenzao kwa kisingizio cha ubuyu au sijui umbea?

Majuzi tu hapa watu wanaojitanabaisha kama wanawake walimwanzishia mada mdada mtangazaji wa kipindi cha Taarab aitwaye Dida.

Wakamsema tena kwa bashasha kabisa kuhusu maisha yake binafsi na wengine wakamsema kuhusu ukubwa au sijui ubora wa maungo yake ya kike.

Sikuona hizi juhudi za hawa wanafiki waliojivika ngozi ya watetezi wa haki za wanawake wakiwakanya wanawake wenzao kuacha kumtukana mwanamke mwenzao.

Unafiki upo kwenye DNA yetu. Huko Instagram na Whatsap ukiona maneno wanayorushiana wanawake huwezi kuamini. Hadi mambo ya utoko wao huyatumia kama zana na silaha ya 'kuchamba'....whatever the heck that means, even!

Ndo maana nasema wanawake walio wengi ni wapumbavu tu.
 
Kwani kuna tatizo gani mume kumsindikiza mke wake kukojoa?
 
Gadner endelea kujihami tu baba walau kutoa toa vitongotongo!
Mke mwaminifu lazima akojoe kwa mumewe rudi jandoni kawaulize maana ya ulichokiongea!
 
Gadner angeendelea kukaa kimya ingekuwa poa sana..Now anazidi kumpa mzuka bidada kuingia studio
Muda sio mrefu tutapata burudani nyingine mpya baada ndi ndi ndi lakini mnaweza kuwa mzunguka mbuyu tatizo ni kuwa upepo hauwezi vuma halafu bendera ikagoma kupepea Garner kwa sasa clouds wameazima akili yake wakimrudishia ataomba radhi
 
Kibangu unahasira sana na wanaume wa Dar sijui kwanini? Au walikukojolesha nawewe? Maana kila post yk unawasema wanaume wa Dar!Niliandika muda ule kuwaponda wanaume wa Dar ili popote ulipo ujitokeze nakweli umekuja mzimamzima
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji114][emoji114][emoji114]
 
Yah uko sahihi mwanaume ambaye amestaarabika na kuishi na mwanamke miaka 15 hawezi tamka maneno hayo hadhalani niushamba na hasira isitoshe anaumia bhado anatamani kuendelea kuwa nae ila ndio hivyo tena
sio kosa lake muulize kalala junior kuachwa
 
Gadner ni mariooo kweli Jide kamvumilia sana, na kaonesha ni mtu wa aiina gani!
Kwa Nini na yeye asijibu mapigo ki aina??
Sasa asipoomba radhi kwa kukwepa aibu yake na Yule pashkuna mwenzie geru basi litamrudia kwa kigwangala! Katokota au asingizie pombe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…