Inawezekana alikuwa ashapiga mitungi, tumsamehe tu, unajua sis wanaume bana sometimes unaweza piga vyombo ukabugi.
Ogopa sana; kuendesha ukiwa umelewa
Ogopa sana; kutoa ufafanuzi wa tatizo la muda mrefu ukiwa umelewa.
Ogopa sana; kureact mambo ya kifamilia ukiwa umelewa
Ogopa sana; kupost Twitter, au hata JF ukiwa umelewa (japokuwa uzoefu unaonesha, wengi humu huwa ni kawaida yao)
Ogopa sana; kutoa PLEDGE zozote zinazohusu hela ukiwa umelewa.
UTAAIBIKA BAADAE.
Ukibarikiwa kuwa na kipaji cha kuficha ujinga,upeomdogo,upumbavu ni jambo la kumshukuru Mungu, sio kila MTU anacho. Hayo maneno yanaonyesha jamaa kilaza