Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Gardner G. Habash: Sina ugomvi na Jaydee, nimemkojoza miaka 15, Naibu Waziri aingilia kati

Inawezekana alikuwa ashapiga mitungi, tumsamehe tu, unajua sis wanaume bana sometimes unaweza piga vyombo ukabugi.

Ogopa sana; kuendesha ukiwa umelewa
Ogopa sana; kutoa ufafanuzi wa tatizo la muda mrefu ukiwa umelewa.
Ogopa sana; kureact mambo ya kifamilia ukiwa umelewa
Ogopa sana; kupost Twitter, au hata JF ukiwa umelewa (japokuwa uzoefu unaonesha, wengi humu huwa ni kawaida yao)
Ogopa sana; kutoa PLEDGE zozote zinazohusu hela ukiwa umelewa.
UTAAIBIKA BAADAE.


Ukibarikiwa kuwa na kipaji cha kuficha ujinga,upeomdogo,upumbavu ni jambo la kumshukuru Mungu, sio kila MTU anacho. Hayo maneno yanaonyesha jamaa kilaza
 
Hiyo sisi tunaoona mbali tunaiita "Come back"

Nyie mnaaita kiki. ...bwana mkubwa alikuwa anatafuta kiki. ..na kashaipata
 
Sometimes I wonder if men and women really suit each other. Perhaps they should live next door and just visit now and then...
 
mi sioni alichomdhalilisha ......
Waje wataalamu wa kiswahili kama kwenye kamusi ya kiswahili kuna kumkojoza na maana yake pengine halipo na halina maana yoyote kwa hiyo udhalilishaji unafutika.
 
Ili picha linoge..inatakiwa lady jaydee ajitokeze hadharani aseme hajawahi kukojoa..
 
Mhe naibu wazir nae aache unafiki mbona mbunge wa sisiem alipowazalilisha wabunge wa viti maalum wa chadema kuitwaa.ma baby hajatoa tamko au kikemeaa.? Yaan mtu proffersional ana deal nq personal life badala ya kukemea vitu vinavotokea na kugusa nidhamu ya viongozi wenzakeee.!!japo siungi mkono alivhofanya g habash ila kigwa baadilika kweny potential issue hutoi tamko kweny celebrities life ndo unatoa..
 
unafiki tuuuu umetujaa na kuhukumu watu, hii laana ndo inatutafuna watanzania.

Leo mara mseme mna'miss JK na alivyokuwepo madarakani kutwa hapa mlikuwa mnaponda kati ya thread zote za siku 20% zilikua za kumponda JK.

Back to the topic, I don't support Gadner alichokifanya ila udhalilishaji wa wanawake na wanaume upo. Na wote tunafanya hata humu ndani, kwenye kumbi za starehe, kwenye groups za whatsapp, makazini na hata makanisani.

Mara ngapi tumewashika wanawake bila ridhaa yao. Mara ngapi wanawake wametushika bila ridhaa yetu. Huu ni udhaliishaji pia na wote hapa tunafanya.

Ya ngoswe tumuachie ngoswe hatuwezi jua nini kinaendelea nyuma ya speaker kati ya hawa watu ila kwambali najisikia amani komando kunyooshwa. Alizidiii
 
Sasa mh naibu mbona alikaa kimya watu walivyoambiwa wamegawa uroda wapate ubunge hapa kaz tu [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom