Gardner wa Clouds adai ndiye mtangazaji anayelipwa mshahara mkubwa kuliko wote hapa Tanzania!

Weka data bana...yaani unaandika maneno matupu kama hayo?
 
Ndio maana nawapenda watu wa Kenya kuhusu mambo ya upashaji wa habari. Ukitaka kujua mfano mishara ya watangaji wa TV mara moja Google inakupa lakini hapa TZ tunaletewa hadithi tu.
na ujue mishahara ya watu ili ugundue nini??? fanya yako kila mtu na jasho lake
 
SAS unasema au anasema ni siri na unakuja na Uzi huu c ajab hii?
 
SASA mbona kachoka hivyo,ana medali ya kupiga mizinga
 
Na bado anahimiza watu WAJIAJIRI
[HASHTAG]#Fursa[/HASHTAG][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…