Gari aina ya IST imeibwa leo. Yeyote atakayeiona naomba atupe taarifa

Gari aina ya IST imeibwa leo. Yeyote atakayeiona naomba atupe taarifa

MENERIKI II

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2014
Posts
642
Reaction score
1,294
Hari zenu wana JF,

Kuna gari aina ya IST imeibwa leo, yeyote atakaeiona naomba atupe taarifa simu 065 954 6653
078 495 5561
T. 441 DZD
Chassis number NCP600134788
Engine number 2NZ2983316

Kuna zawadi nono kwa atakae fanikisha kupatika

241B5AA1-FCB8-4053-9E83-609C7023929C.jpeg
69DCD201-9DBF-4CFD-B43C-6CE6DE0D2FC2.jpeg
 
Umeibiwa maeneo gani, mji gani, mkoa gani.
Weka namba ya gari lakini pia chassis number.
Last but not least, saa nane usiku ulikua unatoka wapi? Isije ikawa gari uliiacha ulikotoka.
Au washkaji walikurudisha home ukiwa mbwi Kisha wakaenda kulihifadhi kwao.
Nane usiku ndio unarudi home? Hata walinzi hawarudigi muda huo.
 
Back
Top Bottom