Gari hiyo aina ya Bentley Flying Spur lenye kibao cha namba W HUSM linalodaiwa kutumiwa na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Paul Makonda limezua mjadala hasa katika mtandaow a X, ambapo watu mbalimbali wamehoji kiongozi wa Serikaloi kutumia gari aina hiyo.
Kwa mujibu wa akili mnemba ya X (Grok), gari hilo lina thamani ya kati ya TZS 650 milioni hadi 1.1 biliona kulingana na bei za mwaka 2026.
View attachment 3543638
View attachment 3543639
View attachment 3543642View attachment 3543643View attachment 3543644View attachment 3543645

No huzuni vijana washtuke mapema wasijichanganye kutumiwa Kwa maslahi ya mtu binafsiMakonda anaandaliwa kuwa VP. Si unajua ni kibenten cha nanino.
Makonda atakuja kufanya mauji ya halaiki hapa Tanzania. Tunzeni huu uzi wandungu. Someni historia ya Hitler na Mussoloni walivyoingia madarakani, na walichokuja kukifanga walipokuwa madarakani.
No huzuni vijana washtuke mapema wasijichanganye kutumiwa Kwa maslahi ya mtu binafsiMakonda anaandaliwa kuwa VP. Si unajua ni kibenten cha nanino.
Hawakufanya mauaji kwa bahati mbaya ili wabaki madarakani.Kwa muonekano wa taa za mviringo zilizo na LED ndani, grill kubwa ya chrome na muundo wa bumper ya chini, hii inaonekana kuwa:
Bentley Flying Spur
Makadirio ya mwaka:
Kati ya 2019 – 2023
Hii ni kizazi cha tatu (third generation) kilichoanza kutolewa mwaka 2019, na ndicho kina muonekano huu wa kisasa zaidi na taa zenye muundo wa crystal effect.
Bei yake:
Mpya kabisa: karibu USD 220,000 – 300,000
Tanzania inaweza kufika TSh 650M – 900M kutegemea ushuru na specs (V8 au W12).
Ukitaka nijaribu kukadiria kama ni V8 au W12 kwa muonekano wa badge au exhaust
Gari lililo mbele kwenye picha ni Bentley Flying Spur
Sifa zake kwa ufupi:
Ni sedan ya kifahari (luxury saloon)
Injini kubwa (V8 au W12 kulingana na toleo)
Muonekano wa kifahari sana na grill kubwa ya chrome
Ndani huwa na ngozi na mbao za hali ya juu
USSR
Na kwakuweka namba ya serekali kwenye gari binafsi, hapo ndio ujue tuna mifumo mfu.Hakuna chochote atafanywa nchi ishajichokea. Shabiby alisema ufisadi wa awamu hii ni kiboko. Kama mtu kama DAB ananunua Bentley flying spurs gari ya 1B na bado RC analalmika mkoa wake wanafunzi wanakaa chini.... Shame on you to all whom it may concern.
Mbali na hayo, nyinyi kikundi cha Abduli ndiyo mashetani wakubwa pamoja na huyo Bi kizee wenu, mnapaswa kunyongwaLaiti watanzania wangetambua tusipopambana na hii regime
Ovu iliyopo kwenye nchi yetu hakuna aliye salama
Hakuna ubishi kwamba Enzi za Magufuli matendo haya ndipo yaliposhamiri Kwa wingi na Kwa wazi kabisa
Mazuri yaMagufuli ya KUSIMAMIA Rasilimali za nchi Kwa kiasi Fulani hayawezi kumtoa kwenye hizi shutuma za mauaji na utekaji
LAZIMA ikumbukwe enzi za Magufuli ndo wakati Lisu aliuwawa mchana kweupe ndani ya Eneo la serikali
Ndio Lisu alishauwawa zamani na hii regime ya uovu iliyochochewa na Magufuli, lisu tuliyenaye naye sasa na WA miujiza TU
Tukumbuke enzi zake kwenye uchaguzi wa...
- Gift mzalendo
- hii kumtoa kupambana kuua magufuli mazuri raia regime
- Replies: 37
- Forum: Jukwaa la Siasa