Gari analotumia "Makonda" lazua mjadala mitandaoni

Gari analotumia "Makonda" lazua mjadala mitandaoni

Gari hiyo aina ya Bentley Flying Spur lenye kibao cha namba W HUSM linalodaiwa kutumiwa na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Paul Makonda limezua mjadala hasa katika mtandaow a X, ambapo watu mbalimbali wamehoji kiongozi wa Serikaloi kutumia gari aina hiyo.

Kwa mujibu wa akili mnemba ya X (Grok), gari hilo lina thamani ya kati ya TZS 650 milioni hadi 1.1 biliona kulingana na bei za mwaka 2026.

View attachment 3543638
View attachment 3543639
View attachment 3543642View attachment 3543643View attachment 3543644View attachment 3543645
Safi sana makonda na maCCM wengine kula nchi. Sisi wanajeshi na mapolisi tusio soma na ata kacorrola hatuna tutaendelea kuwalinda ili mle nchi mnavyotaka baba. Tupo kwa ajili yenu
 
Huku nlipo mawazir unapishana nao Street
Hao hao ndy wafadhili wetu wa msaada
Anyway kuna usemi ule wanasema mswahili akipata mtk yk huliya mbwata
Nahisi ugeni pia wa mambo exposure

Ova
Haya mambo inatakiwa uyamalize utotoni. Ukipata nafasi hiyo, ukubwani hayakusumbui sana.

Ila ukiyakosa utotoni, ukubwani unayafakamia kilimbukeni.

Bentleys are highly unreliable and very expensive to maintain.
 
Kuendesha mashambulizi dhidi ya mfu ni kielelezo cha uoga, sio ujasiri nor is it a war strategy. Fight the mazafakas who continue to faki your country even as you lament!
 
Ill-gotten wealth requires no wise spending!
My point is, ukiondoa Status Anxiety na Poverty Anxiety utotoni, ukubwani huwezi kusumbuka na haya mambo hata kufikia kuiba.

Sasa mimi nishapanda ma Intercooler Turbo na ma Range Rover tangu shule ya msingi, nimeona uzuri na ubaya wake si kuyaona kwenye picha tu. Range Rover la Vogue 4.0 la nyumbani liliharibika tukahangaika sana mpaka Nairobi kulitengeneza kwa sababu Tanzania hakukuwa na mafundi. Siwezi kushobokea haya magari leo.

Zaidi, kabla sijafikia miaka 18 nilishasoma kitabu cha business cha baba yangu kilichoandikwa na Harvey B. Mackay
"Swim with the Sharks Without Being Eaten Alive: Outsell, Outmanage, Outmotivate, and Outnegotiate Your Competition" kilichonifundisha kuwa ujanja si kununua magari ya kifahari (ambayo yanashuka thamani kwa kasi sana na yana gharama kubwa za matengenezo), bali, ujanja ni kununua real estate ambayo inapanda thamani tu.

So, mtu aliyejua mambo haya tangu awali na kupata nafasi hizi, hawezi kuwa na ulimbukeni huu wa conspicuous consumption, especially kama ni mtu aliye katika nafasi za serikali.

This is anxiety crying out, Status Anxiety, Poverty Anxiety.
 
Nyamitako anapenda kujifanya yeye ni mtu maalumu kila wakati. Akiwa RC wa Dar es Salaam pia alikuwa anatumia magari yale aliyopora kwa Waarabu na Wahindi aliokuwa anawatishia kuwapa kesi za madawa ya kulevya na kuyaweka namba RC DSM. Anaringia sana hilo sambwanda lake.
Screenshot_20240716_193908_Google.jpg
 
Hii nchi uongozi ukibadilika cha kwanza ni kuanza audit ya maisha ya wateuliwa, wafanyakazi vs mishahara yao
 
Unamuonea wivu Mh waziri?

Makonda atazimudu vizuri hizo gharama... worry out.
I am not worried about kuzimudu.

I am concerned about the poverty anxiety, the status anxiety, the conspicuous consumption, and you not understanding any of it.
 
I am not worried about kuzimudu.

I am concerned about the poverty anxiety, the status anxiety, the conspicuous consumption, and you not understanding any of it.
Acheni na yeye atambe bhana....

Maisha mafupi haya..
 
Gari hiyo aina ya Bentley Flying Spur lenye kibao cha namba W HUSM linalodaiwa kutumiwa na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Paul Makonda limezua mjadala hasa katika mtandaow a X, ambapo watu mbalimbali wamehoji kiongozi wa Serikali kutumia gari aina hiyo.

Kwa mujibu wa akili mnemba ya X (Grok), gari hilo lina thamani ya kati ya TZS 650 milioni hadi 1.1 biliona kulingana na bei za mwaka 2026.

View attachment 3543638
View attachment 3543639
View attachment 3543642View attachment 3543643View attachment 3543644View attachment 3543645
Matumizi mabaya ya mauzo ya dhahabu.
 
Yani kila siku humu vijana wa ajira mpya wanalia kwa kutokulipwa hela ya kujikimu....cha kusikitisha ukiwauliza hiyo hela ya kujikimu ni kiasi gani utachoka...hata milioni haifiki

Hiyo mil. 650 inawalipa zaidi ya vijana 650 hela ya kujikimu xai
 
Back
Top Bottom