Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Aisee nimestaajabu
Tena itapendeza sana akuuwe wewe maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata MbinguniMakonda atakuja kufanya mauji ya halaiki hapa Tanzania. Tunzeni huu uzi wandungu. Someni historia ya Hitler na Mussoloni walivyoingia madarakani, na walichokuja kukifanga walipokuwa madarakani.
Kwa DAB ni pesa ndogo sana ,Lugumi ana Autobiography ya 800m Tsh 2024.TZS 650 milioni hadi 1.1 bilion
Hakika Lissu wa sasa ni wa MIUJIZA !!!! Ni MZIMU ilio HAI!!! MUNGU AZIDI KUPEWA SIFA .Laiti watanzania wangetambua tusipopambana na hii regime
Ovu iliyopo kwenye nchi yetu hakuna aliye salama
Hakuna ubishi kwamba Enzi za Magufuli matendo haya ndipo yaliposhamiri Kwa wingi na Kwa wazi kabisa
Mazuri yaMagufuli ya KUSIMAMIA Rasilimali za nchi Kwa kiasi Fulani hayawezi kumtoa kwenye hizi shutuma za mauaji na utekaji
LAZIMA ikumbukwe enzi za Magufuli ndo wakati Lisu aliuwawa mchana kweupe ndani ya Eneo la serikali
Ndio Lisu alishauwawa zamani na hii regime ya uovu iliyochochewa na Magufuli, lisu tuliyenaye naye sasa na WA miujiza TU
Tukumbuke enzi zake kwenye uchaguzi wa...
- Gift mzalendo
- hii kumtoa kupambana kuua magufuli mazuri raia regime
- Replies: 37
- Forum: Jukwaa la Siasa
Makonda ana mashamba ya mpunga...na ana biashara pia tofauti na mshahara.....so ana advantage ya kukopa kwenye mabenkiGari hiyo aina ya Bentley Flying Spur lenye kibao cha namba W HUSM linalodaiwa kutumiwa na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Paul Makonda limezua mjadala hasa katika mtandaow a X, ambapo watu mbalimbali wamehoji kiongozi wa Serikaloi kutumia gari aina hiyo.
Kwa mujibu wa akili mnemba ya X (Grok), gari hilo lina thamani ya kati ya TZS 650 milioni hadi 1.1 biliona kulingana na bei za mwaka 2026.
View attachment 3543638
View attachment 3543639
View attachment 3543642View attachment 3543643View attachment 3543644View attachment 3543645
Issue hapa MAADILI YA KAZI YA UTUMISHI WA UMMA LAZIMA YAZINGATIWE!!!! Mzee makoti nyie machawa ndiyo mnazidi kumuangamiza bashite walaai. COMMON SENSE!!!!!Makonda ana mashamba ya mpunga...na ana biashara pia tofauti na mshahara.....so ana advantage ya kukopa kwenye mabenki
Uko sahihi, maana ili uwe na faida ni kuwa chawa wa majizi.Tena itapendeza sana akuuwe wewe maana huna faida yoyote ile hapa Duniani na hata Mbinguni
Acha wivu mkuu!Kuwa na viongozi washamba wa mdaraka, MALIMBUKENI wa madaraka na mali ni hatari mnooo
Maadili ya uongozi yanawataka waendeshe land Rover 109 au?Issue hapa MAADILI YA KAZI YA UTUMISHI WA UMMA LAZIMA YAZINGATIWE!!!! Mzee makoti nyie machawa ndiyo mnazidi kumuangamiza bashite walaai. COMMON SENSE!!!!!