Augu_Rider
Member
- Oct 15, 2022
- 52
- 90
Ila ni kweli mkuu kujenga sio mchezokisa nilianza kujenga, ujana wote nimekula msoto...bora ningeanza gari kwa kweli
Passo ikianza kuchoka ni shidaToyota ist
Toyota passo
Toyota vitz
Suzuki swift
Hizo hapo zipo vizuri sana kwenye fuel consumption na pia maintenance
Wakuu habari,
Naombeni ufafanuzi natamani nipate gari la kuanzia maisha nitakalokaa nalo muda mrefu kidogo, ninakoishi kuna milima ya wastani na vumbi la kati.
Je, ni gari gani inanifaa Mimi, kipato changu ni cha chini kwa mwezi napata laki 4?
Usipepese macho anza na IST
utasemwa lkn utapata experience nzuri kuhusu magari
Fuel efficiency,low maintenance cost,good resale value
Usipepese macho anza na IST
utasemwa lkn utapata experience nzuri kuhusu magari
Fuel efficiency,low maintenance cost,good resale value
Ushauri Bora kabisa kwenye huu Uzi, siyo anakimbilia kununua gari badae anakuja kulalamikia ugumu wa maisha, gari lazima uwe na budget ya 10k plus kwa siku kwa ajili ya wese tu, hiyo ni minimum ya 300k kwa mwezi, hujala, Kodi, umeme na maji. Kama anaweza anunue pkpk au bajajiMwamba gari lolote linafaa kuanzia maisha
Ila kama kipato ni laki 4 ningekushauri suala la gari achana nalo kwa sasa
Wewe ulitaka amiliki nini? punda au?Mtu ana kipato cha laki nne kwa mwezi afu anataka kumiliki gari
Hii nchi uhuru umezidi kiwango...
Ushauri Bora kabisa kwenye huu Uzi, siyo anakimbilia kununua gari badae anakuja kulalamikia ugumu wa maisha, gari lazima uwe na budget ya 10k plus kwa siku kwa ajili ya wese tu, hiyo ni minimum ya 300k kwa mwezi, hujala, Kodi, umeme na maji. Kama anaweza anunue pkpk au bajaji
Una akili sana, mimi huwa natembelea gari safari muhimu na za uhakika wa Pesa... za kubahatisha napanda daladala gari inapak mwaka wa 3 huuGari kwa sasa ni moja ya mahitaji muhimu kwa familia hasa umuhimu wake unakuja pale unapopata shida ya ghafla ama muhimu ambayo itahitaji kutoka sehemu moja kwenda nyingine, kikubwa ukiwa na gari na kipato kikawa kidogo jitahidi sana kuepuka matumizi yasiyokua ya lazima kutumia gari binafsi, gari iwe stand by kwa ajili ya safari za muhimu na zile shida z ghafla hasa kwa bei ya buku ya mafuta kwa sasa, ila kama uchumi uko vizuri popote tembea nayo.
Pigia mstari jibu lako sahihiWewe ulitaka amiliki nini? punda au?
Sio kila mahala unaenda na chuma,muda mwngne unatembea au kupanda usafiri wa ummaUna akili sana, mimi huwa natembelea gari safari muhimu na za uhakika wa Pesa... za kubahatisha napanda daladala gari inapak mwaka wa 3 huu
Enyi watu wa JF mfike mahali muache kilamtu kumshauri anunue CarinaNunua Carina T. I hutojuta mkuu.Wapo wataoponda kwamba ni kizamani kazini mninga haswa Kama wewe ni mgeni kwenye ulimwengu huu wa magari itakufaa sana. Hizo gari dedicate zinatesa sana mambo yake ni mengi kama demu ni slay queen
Asee katika ushauri huu ni bonge la ushauri ila mtaka gari now anaweza ona ww ni kikwazo kwenye lengo lake.Gari ni liability kama hauna necessary and stable financial resouces. I wont advise you to venture into that. Invest to diversify and increae your income stream. Baadae utajikuta tu unanunua gari kama kifaa cha lazima cha kufanyia shughuli zako.
Carina ni gari nzuri hasa kwa wanaoanza kumiliki ndinga. Alafu bei zake sio kali sana na hakina mambo mengiEnyi watu wa JF mfike mahali muache kilamtu kumshauri anunue Carina