Gari gani zuri la kuanzia maisha?

Gari gani zuri la kuanzia maisha?

Kama wewe ni mpole na hutaki matatizo wala makelele na watu nunua gari bora ya muda wote kwa watu wa kawaida-RAV4
 
Warren Buffett aliwahi kusema: ukinunua vitu usivyo vihitaji, muda mfupi utaanza kuuza vitu unavyovihitaji.
Acha mawazo mgando broo...gari ni usafiri tu wala usicomplicate..nyie ndo mnaozeeka hujawahi miliki hata gari eti ni luxury...mwisho wa siku hakuna hata cha maana ulichofanya kumshinda alonunua gari... kwani nyie maisha mnayatafri vp?
 
Wakuu habari,

Naomben ufafanuzi nataman nipate gari la kuanzia maisha nitakalokaa nalo muda mrefu kidogo, ninakoishi kuna milima ya wastani na vumbi la kati.

Je, ni gari gan inanifaa Mim kipato changu ni cha chini kwa mwezi napata laki 4?
Tokea lini mtu kuanzia maisha kwa gari? Hasa hasa Bongo
 
Issue ya mimi kumiliki gari isikusumbue, issue ni huyo kijana atalimudu?
 
sasa assume mtu ana kipato cha laki nne cha uhakika let say ni mwajiriwa wa serikali...akinunua gari ya m6-10 itamshindaje kumdu? gari huwa inasimplfy mambo mengi...achaneni na mawazo ya gari ni luxury ..gari ni usafiri tena ni muhimu kwa maisha ya sasa..labda kama unaishi bush
 
Tokea lini mtu kuanzia maisha kwa gari? Hasa hasa Bongo
si ajabu, kwa mtu mwenye ajira ya uhakika ..ata akianza na gari si mbaya, kama nyumba atajenga tu...tofautisheni mambo..individualize your case watu hatufanani
 
sasa assume mtu ana kipato cha laki nne cha uhakika let say ni mwajiriwa wa serikali...akinunua gari ya m6-10 itamshindaje kumdu? gari huwa inasimplfy mambo mengi...achaneni na mawazo ya gari ni luxury ..gari ni usafiri tena ni muhimu kwa maisha ya sasa..labda kama unaishi bush
Mkuu gari siyo mafuta tu, kuna regular services, wear and tear, insurance , tyres etc, siyo mbaya mwache ajaribu
 
wakati mwingine tuliozaliwa mazingira ..unakuta hakuna gari..kichwani tunawazaga kumiliki gari ni likitu likuubwa..mimi kwa kweli najilaumu nimeanza kumiliki gari nina miaka 43, yaani nilichelewa kufanya maamuzi
 
Wakuu habari,

Naomben ufafanuzi nataman nipate gari la kuanzia maisha nitakalokaa nalo muda mrefu kidogo, ninakoishi kuna milima ya wastani na vumbi la kati.

Je, ni gari gan inanifaa Mim kipato changu ni cha chini kwa mwezi napata laki 4?
Toyota ist
Toyota passo
Toyota vitz
Suzuki swift

Hizo hapo zipo vizuri sana kwenye fuel consumption na pia maintenance
 
Mkuu! Subaru forester ina changamoto gani kwenye kiti cha dereva? Na je hiyo changamoto ipo hata kwenye Hizi wanaziita Mnyampura (Subaru Forester 2.0XT na 2.5 XT toleo la 2008-2012).

Maana nimezielewa sana na kibubu changu kimefikia hatua nzuri soon nawagongea hodi beforward.
Kama bajerti yako ipo fresh yakutuchua ni SH9 2.5XT 5 Speed A/T 263 HP mzee hio ni moto wa kuotea mbali...ila ikishindikana hata 2.0XT 4 Speed A/T 230HP kwa masafa marefu ndo yenyewe...
 
Gari ni liability kama hauna necessary and stable financial resouces. I wont advise you to venture into that. Invest to diversify and increae your income stream. Baadae utajikuta tu unanunua gari kama kifaa cha lazima cha kufanyia shughuli zako
Yaan watu wenye mawazo na fikra kama hizi huwa nawaona bado wapo nyuma sana ya dunia na huwa nawashangaa sana

Mtu kaomba ushauri anunue gari gani wewe unakuja na mawazo yako mapya ya kuwekeza kwani kakwambia hajajiwekeza?
 
Kuwaza kumiliki gari wakati hauna stable income hayo ndiyo mawazo ya kimasikini zaidi na yatakupeleka kwenye ufukara
Maskini wengi huwa wanaamini gari ni anasa gari ni utajiri ndio maana hawezi kukushangaa ukinunua pikipiki honda 110mpya kwa Tsh mil 11 ila watakushangaa na kukuundia majungu sana sana ukinunua toyota starlet kwa mtu kwa tsh. mil 3.5 kwa sababu maskini wengi wao wanaamini gari ni anasa na ufahari sana wakati kiuhalisia gari ni kitu cha kawaida kabisa katika maisha kama vitu vingine tunavyo miliki, tuache mawazo ya kimaskini jaman
 
Gari ni liability kama hauna necessary and stable financial resouces. I wont advise you to venture into that. Invest to diversify and increae your income stream. Baadae utajikuta tu unanunua gari kama kifaa cha lazima cha kufanyia shughuli zako
Bahati mbaya ni kwamba wachache sana watakaokuelewa.
 
Wakuu habari,

Naomben ufafanuzi nataman nipate gari la kuanzia maisha nitakalokaa nalo muda mrefu kidogo, ninakoishi kuna milima ya wastani na vumbi la kati.

Je, ni gari gan inanifaa Mim kipato changu ni cha chini kwa mwezi napata laki 4?
Kwa kipato hicho cha Laki 4, sikushauri ununue Gari. Unajiingiza shimoni
 
Maskini wengi huwa wanaamini gari ni anasa gari ni utajiri ndio maana hawezi kukushangaa ukinunua pikipiki honda 110mpya kwa Tsh mil 11 ila watakushangaa na kukuundia majungu sana sana ukinunua toyota starlet kwa mtu kwa tsh. mil 3.5 kwa sababu maskini wengi wao wanaamini gari ni anasa na ufahari sana wakati kiuhalisia gari ni kitu cha kawaida kabisa katika maisha kama vitu vingine tunavyo miliki, tuache mawazo ya kimaskini jaman
umasikini kwa sehemu kubwa unachangiwa na mtazamo hasi kuhusu matumizi sahihi ya resources. Warren Buffett aliwahi kusema hivi: Ukinunua vitu usivyohitaji sasa, utakuja kuuza vitu unavyohitaji baadae

MIMI NAONA WEWE NDIYO LIMBUKENI UNAFIKIRI GARI NI KITU CHA MAANA SANA
 
Back
Top Bottom