mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Mimi ni mtumiaji wa barabara kwa kiasi chake , kuna hii tabia ya trafiki wanaopiga bao barabarani Kuna gari zao wanazipenda sana kuzisimamisha bila sababu ya msingi 1.Ist, premio, corrola , Nissan dualis, gari yoyote Namba c, b, A na vigari vyote vya chini ya milioni 20 , na hata akikusimamisha ukifika Wala hakuzingatii niliamua kumuliza rafiki yangu mmoja kwa nini mnapenda kuzingua sana wa watumiaji wa hizi gari , alichonijibu " eti kwenye akili zao Huwa Wana uhakika Kila aliyepo humo ni fala tu " vip watumiaji wa hizi gari nyinyi hamkumbani na kazia hii