Gari hizi trafiki wanazipenda kuzipiga mkono

Mimi ni mtumiaji wa barabara kwa kiasi chake , kuna hii tabia ya trafiki wanaopiga bao barabarani Kuna gari zao wanazipenda sana kuzisimamisha bila sababu ya msingi 1.Ist, premio, corrola , Nissan dualis, gari yoyote Namba c, b, A na vigari vyote vya chini ya milioni 20 , na hata akikusimamisha ukifika Wala hakuzingatii niliamua kumuliza rafiki yangu mmoja kwa nini mnapenda kuzingua sana wa watumiaji wa hizi gari , alichonijibu " eti kwenye akili zao Huwa Wana uhakika Kila aliyepo humo ni fala tu " vip watumiaji wa hizi gari nyinyi hamkumbani na kazia hii
Kiboko ya zote ni kirikuu yenye mzigo
 
Upo sahihi kabisa, nina baby walker namba "C" kila nikitoka lazima nipigwe mkono hata mara tatu kwa siku! Japo huwa ipo clean siku zote, haijawahi kuwa na madeni maana wengine uendeshaji wetu wa kizee!!

Nina gari SUV namba "A" lina makosa kibao madeni ya kufa mtu hata siku moja halipigwi mkono. Fine huwa nazipatia kwenye long safari, mjini haijawahi kukamatwa!!

Nimekuwa najiuliza sana, wanachoangalia ni sura? Gari au namba ya gari?
 
This is true 100% ukiwa unaendesha gari zuri barabarani Traffic wanaheshimu sana na wala husumbuliwi
Hiyo ni kweli kabisa.
Kuna siku naelekea barabara ya kusini kuelekea Mtwara. Niliongozana na Voxwagen Tourag wakati mimi nikiwa nyuma na suzuki jimmy.

Kwa mwendo ule ule na kasi ileile mi nilisimamishwa ila Touareg ili pita kama hawaioni.

Kosa ilikuwa spidi.

Ndo nikaju akari polisi wa barabarani vichwani kweupe
 
Mimi ni mtumiaji wa barabara kwa kiasi chake , kuna hii tabia ya trafiki wanaopiga bao barabarani Kuna gari zao wanazipenda sana kuzisimamisha bila sababu ya msingi 1.Ist, premio, corrola , Nissan dualis, gari yoyote Namba c, b, A na vigari vyote vya chini ya milioni 20 , na hata akikusimamisha ukifika Wala hakuzingatii niliamua kumuliza rafiki yangu mmoja kwa nini mnapenda kuzingua sana wa watumiaji wa hizi gari , alichonijibu " eti kwenye akili zao Huwa Wana uhakika Kila aliyepo humo ni fala tu " vip watumiaji wa hizi gari nyinyi hamkumbani na kazia hii
Trafiki hasumbui sana gari za private, gari za biashara ndio mashamba yao yani kirikuu, canter, fuso, daladala, semi trailers hizo hazikatizi mbele ya askari bila kupigwa mikono. Katika checkpoint zenye trafiki 10 wakifanikiwa sana watapita 2 bila bugudha ila 8 zote lazma watasimamishwa.
 
Upo sahihi kabisa, nina baby walker namba "C" kila nikitoka lazima nipigwe mkono hata mara tatu kwa siku! Japo huwa ipo clean siku zote, haijawahi kuwa na madeni maana wengine uendeshaji wetu wa kizee!!

Nina gari SUV namba "A" lina makosa kibao madeni ya kufa mtu hata siku moja halipigwi mkono. Fine huwa nazipatia kwenye long safari, mjini haijawahi kukamatwa!!

Nimekuwa najiuliza sana, wanachoangalia ni sura? Gari au namba ya gari?
Gari ikiwa kubwa askari wanai ignore hata iwe namba A. Endesha Prado, Hilux Surf, Land Cruiser yeyote kuanzia 80 series hadi 300 ndio kabisaaa hawakugusi hapa mjini🤣!

Pia Pickup zile Hilux Vigo au Revo hawakugusi kabisa.

Ila hizi gari za chini kina Ist, Vits na wenzie utasumbuliwa sana 🤣
 
Hiyo ni kweli kabisa.
Kuna siku naelekea barabara ya kusini kuelekea Mtwara. Niliongozana na Voxwagen Tourag wakati mimi nikiwa nyuma na suzuki jimmy.

Kwa mwendo ule ule na kasi ileile mi nilisimamishwa ila Touareg ili pita kama hawaioni.

Kosa ilikuwa spidi.

Ndo nikaju akari polisi wa barabarani vichwani kweupe
Suzuki Jimny lazma uwekwe pembeni🤣 unaendeshaje kigari kibaya kwa fujo.
 
kirikuu mie nlitembelea ad nlijuta na aikua ya kaz ilikua ya ofcn tu tunabebea mizgo nkaw naitmbelea trafk yn uchenge ef 2 mbil ht za buku 10 na dau lao dog wanajua za kaz ila ilifkia kpnd nkaw natembea nay usik tu na nkiw na hela kila sehm mkon af nlikua nakaa ktunda ofcn mtaa wa lind
Kirikuu ni RB ile 🤣 mda wowote unatiwa nguvuni na mamwela
 
Mimi ni mtumiaji wa barabara kwa kiasi chake , kuna hii tabia ya trafiki wanaopiga bao barabarani Kuna gari zao wanazipenda sana kuzisimamisha bila sababu ya msingi 1.Ist, premio, corrola , Nissan dualis, gari yoyote Namba c, b, A na vigari vyote vya chini ya milioni 20 , na hata akikusimamisha ukifika Wala hakuzingatii niliamua kumuliza rafiki yangu mmoja kwa nini mnapenda kuzingua sana wa watumiaji wa hizi gari , alichonijibu " eti kwenye akili zao Huwa Wana uhakika Kila aliyepo humo ni fala tu " vip watumiaji wa hizi gari nyinyi hamkumbani na kazia hii
Wenye PRADO 120 A.K.A PRADO DIAMOND TUJUANE
 
Trafiki hasumbui sana gari za private, gari za biashara ndio mashamba yao yani kirikuu, canter, fuso, daladala, semi trailers hizo hazikatizi mbele ya askari bila kupigwa mikono. Katika checkpoint zenye trafiki 10 wakifanikiwa sana watapita 2 bila bugudha ila 8 zote lazma watasimamishwa.
hv traffic akisimamisha gari yako inabidi upark afu ushuke ukamsikilize au yy anatakiwa akufate ulipopark uongee nae ukiwa ndan ya gari lako??
 
Hiyo ni kweli kabisa.
Kuna siku naelekea barabara ya kusini kuelekea Mtwara. Niliongozana na Voxwagen Tourag wakati mimi nikiwa nyuma na suzuki jimmy.

Kwa mwendo ule ule na kasi ileile mi nilisimamishwa ila Touareg ili pita kama hawaioni.

Kosa ilikuwa spidi.

Ndo nikaju akari polisi wa barabarani vichwani kweupe
hapana sio kwamba askari ni weupe kichwan NO. pale walikusimamisha kwa sabu waliona kwa speed hyo ukipata ajali na hako kasuzuki utapondeka pondeka vibaya mno kwa sababu hakana safety features za kutosha kama ilivo kwnyTouareg, mfano hata airbag kwny suzuki nadhan ziko mbili au moja ila kwny Touareg zpo za kutosha, pili kasuzuki body lake ni very weak huez fananisha na body la Touareg,,, Tatu ni rahisi ww kupata ajali mbaya in case of any emergence wakati mwenzio wa Touareg inamwonesha kwny dashboard kwamba something is wrong(gari ina sensors mpaka za ku detect tire pressure)
 
Back
Top Bottom