MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Mbali na cheo lakini hata kabla sijaweka number plate ya Ukoo wangu kwenye Corolla yangu niliwahi simamishwa Mara moja na hapo nilikuwa mafuta Sana natoka Tunduma nimelala na Malaya alafu nikahisi ana ngoma maana nilienda Peku hivyo nilikuwa nakimbia kwenda ofisini niwahi kumeza dawa ,maana masaa yalikuwa yanaelekea kukata .Isn't 18.5 mil
Premio 22.5-27mil
Dualis 23-26-35mil
Ni gari zinazopendelewa na vijana obviously kwenye mentality ya hao traffic kuwa hawawezi kuwa na vyeo vinavyoweza kutishia tabia zao za ulaji rushwa.
Sina hakika na bei ya Colora.
Gari zinazopata shida na trafiki wala rushwa ni gari za mizigo,Canter,fuso, Suzuki carry,guta,gari za mkaa,dalaldala,tax na gari za abiria kama Tata n.k
Mbali na hiyo siku sijawahi kusimamishwa zaidi ya kupungiwa mkono wa kwaheri na hao wanafunzi wa sare nyeupe