Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa ulikuwa unasukuma kitu kikubwa km Range labda, nchi hakuna maaskari walafi kama bk hasa muleba na misenyi yamelaaniwa yaleWatu mnatoa mapovu ila ukweli ndo huo,nina experience nimepita dar mwanza,mwanza chuga na mwanza bk sijawahi kusimamishwa na traffic.
Tuache utani kuna gari traffic akiona hawezi isimamisha.
Ushauri wao kama umekufaa uchukue jomba, kwangu mimi haunifai ni uongo kauandika hapo.Wewe utayajua maisha yao au ushauri wao kuliko wao?
Kweli ujinga mzigo bila shaka hata haukumbuki Sep 23 uliyowahi kuitishwa kokote.
Bure kabisa.
Ushauri wao kama umekufaa uchukue jomba, kwangu mimi haunifai ni uongo kauandika hapo.
Vitu vipo tofauti kwa ubora halafu anakwambia kisa vyote vinaserve the same purpose basi usitumie gharama kununua quality we nunua tu famba.
Ushauri mzuri huo kijana??
Wanavaa mitumba hao??
Unaangalia ukwasi au ujumbe uliopewa??Mkuu kwani wewe ni limbukeni tu, au ni wale matajiri kabisa wa JF wenye ukwasi kuliko kina Steve Jobs au Elon Musk?
Hahahahaa duh! Jimny 4th generation? Sijawahi kusimamishwa, hili gari nafikiri hata serikalini na baadhi ya balozi wanalo.Suzuki Jimny lazma uwekwe pembeni🤣 unaendeshaje kigari kibaya kwa fujo.
mimi ninazo gari tajwa, ktk miaka minne ya umiliki wake nimesimamishwa mara moja tu na nilipofungua kioo askari alisema :Samahani mzee ni ukaguzi wa kawaida ila nenda tu mzee wanguHuwa nasimamishwa na hao jamaa ila baada ya kushusha kioo nafikiri huwa wanagundua huyu sio fala maana wanakuwa wadogo kama piriton.
[emoji3][emoji3][emoji3]Kitendo cha kuendesha IST tu hata kama umeitoa showroom leo tayari una makosa 21 ya kujibu
Sasa milioni 20 si ndio karibu gari zote mzeeMimi ni mtumiaji wa barabara kwa kiasi chake , kuna hii tabia ya trafiki wanaopiga bao barabarani Kuna gari zao wanazipenda sana kuzisimamisha bila sababu ya msingi 1.Ist, premio, corrola , Nissan dualis, gari yoyote Namba c, b, A na vigari vyote vya chini ya milioni 20 , na hata akikusimamisha ukifika Wala hakuzingatii niliamua kumuliza rafiki yangu mmoja kwa nini mnapenda kuzingua sana wa watumiaji wa hizi gari , alichonijibu " eti kwenye akili zao Huwa Wana uhakika Kila aliyepo humo ni fala tu " vip watumiaji wa hizi gari nyinyi hamkumbani na kazia hii
Hili sahihi na wao wanajua lipo serikaliniHahahahaa duh! Jimny 4th generation? Sijawahi kusimamishwa, hili gari nafikiri hata serikalini na baadhi ya balozi wanalo.
View attachment 3097955
Unaangalia ukwasi au ujumbe uliopewa??
Kisa vunjabei ni tajiri kuliko mimi basi nikubaliane kua kuhonga wanawake hovyo ni vizuri..
Sio kila unachoambiwa na tajiri ufate, za kuambiwa changanya na zako.
Ushapagawa hata hueleweki unaandika nini, fata ushauri wa tajiri yako kutumia famba, tecno na samsung zote simu kwa mujibu wa tajiri wako na zinaserve the same purpose sijui tajiri zako wanatumia itel..Ukweli mchungu: "ni mwenda kuzimu tu atakusikiliza wewe ndugu Godlove Chief, bilionea mbobezi wewe tokea pande za Nanjilinji huko."
Ushapagawa hata hueleweki unaandika nini, fata ushauri wa tajiri yako kutumia famba, tecno na samsung zote simu kwa mujibu wa tajiri wako na zinaserve the same purpose sijui tajiri zako wanatumia itel..
Akili kumkichwa.
Kama unaona Vishu Mtata ni id inayofanana na huyo tajiri wako basi wewe una matatizo binafsi.
Nyie vigogo wa Ccm mna mikwara kweli kweliHuwa nasimamishwa na hao jamaa ila baada ya kushusha kioo nafikiri huwa wanagundua huyu sio fala maana wanakuwa wadogo kama piriton.
Mkuu nitake radhi.Nyie vigogo wa Ccm mna mikwara kweli kweli