mawazo ya kimasikini tu, kuna mwamba huko Geita anamiliki Mabasi zaidi ya miambili na malori lakini anatembelea ki fun cargo, kimsingi umasikini upo sana kwenye fikra lakini si vinginevyo, kuna mjinga mmoja hana hata baiskeli lakini kutwaaa kuwachamba watu wenye Toyoya yaani yeye anaona hizo sio gari kwake yeye Bednz ndio gari lakini anatembea na mguu, kwahiyo hata yeye ni masikini kwenye fikra.
Tajiri Vishu Mtata wewe una nini ndugu?