Gari hizi trafiki wanazipenda kuzipiga mkono

Gari hizi trafiki wanazipenda kuzipiga mkono

Isn't 18.5 mil
Premio 22.5-27mil
Dualis 23-26-35mil
Ni gari zinazopendelewa na vijana obviously kwenye mentality ya hao traffic kuwa hawawezi kuwa na vyeo vinavyoweza kutishia tabia zao za ulaji rushwa.

Sina hakika na bei ya Colora.

Gari zinazopata shida na trafiki wala rushwa ni gari za mizigo,Canter,fuso, Suzuki carry,guta,gari za mkaa,dalaldala,tax na gari za abiria kama Tata n.k
Ist now bampa kubwa 22m
Wakati hapo ukiongeza 3m unapata dualis chases no au ukiongeza 7m unapata outlander
 
Isn't 18.5 mil
Premio 22.5-27mil
Dualis 23-26-35mil
Ni gari zinazopendelewa na vijana obviously kwenye mentality ya hao traffic kuwa hawawezi kuwa na vyeo vinavyoweza kutishia tabia zao za ulaji rushwa.

Sina hakika na bei ya Colora.

Gari zinazopata shida na trafiki wala rushwa ni gari za mizigo,Canter,fuso, Suzuki carry,guta,gari za mkaa,dalaldala,tax na gari za abiria kama Tata n.k
Toyo sijui ziliwakosea nini trafiki,yan ikikatiza mbele yao lazima waisimamishe!
 
Hiyo ni kweli kabisa.
Kuna siku naelekea barabara ya kusini kuelekea Mtwara. Niliongozana na Voxwagen Tourag wakati mimi nikiwa nyuma na suzuki jimmy.

Kwa mwendo ule ule na kasi ileile mi nilisimamishwa ila Touareg ili pita kama hawaioni.

Kosa ilikuwa spidi.

Ndo nikaju akari polisi wa barabarani vichwani kweupe
Suzuki Jimmy gari za Afsa Watendaji wa Mitaa😫😂
 
Isn't 18.5 mil
Premio 22.5-27mil
Dualis 23-26-35mil
Ni gari zinazopendelewa na vijana obviously kwenye mentality ya hao traffic kuwa hawawezi kuwa na vyeo vinavyoweza kutishia tabia zao za ulaji rushwa.

Sina hakika na bei ya Colora.

Gari zinazopata shida na trafiki wala rushwa ni gari za mizigo,Canter,fuso, Suzuki carry,guta,gari za mkaa,dalaldala,tax na gari za abiria kama Tata n.k
Colora = X
Corolla = 👍
 
Bila kusahau kirikuu
Kwan kili kuu sio canter?? Ukizungumzia Canter umetaza magari aina ya kilikuu yote mkuu, maana hamna brand inayoitwa kili kuu, wanaita Kilikuu kwa kulingana na umbo lake na ni jina la wabongo tu.
 
kirikuu mie nlitembelea ad nlijuta na aikua ya kaz ilikua ya ofcn tu tunabebea mizgo nkaw naitmbelea trafk yn uchenge ef 2 mbil ht za buku 10 na dau lao dog wanajua za kaz ila ilifkia kpnd nkaw natembea nay usik tu na nkiw na hela kila sehm mkon af nlikua nakaa ktunda ofcn mtaa wa lind
Mnapenda kuwapa hela na ndo maana wanawakamata na kuwatoa hela mpaka mnatembea na change. Gari la ofisi na halina shida kwanini uwape hela? Hizi Kirikuu zingine za biashara wanajuana maana hata hao madereva huwa Wana faulo zao hivyo walishajengeana mazingira huku madereva wakidhani kukiwa kuna msala mkubwa itakuwa rahisi kufanya namna

Nina corolla ya 1995 ile ya alitumia Babu mpaka mjukuu na rangi imechunika tena namba A na huwa sipigwi mkono na nikipigwa mkono ni ukaguzi wa kawaida tu na naendelea na safari.

Yaani una driving licence, fire extinguisher, kadi ya gari na reflector. Taa zote yaani indicator zipo fresh, tyre sio kipara plus umefunga mkanda na abiria wako wa mbele nae amefunga mkanda ukitoa hela umependa kutoa sadaka kwa askari labda kama umefanya kosa nje ya hapo.

Shida watu wengi wamezoea kusema askari akiamua lazima atakukuta na kosa wakati si kweli
 
Back
Top Bottom