Gari hizi trafiki wanazipenda kuzipiga mkono


Tajiri Vishu Mtata wewe una nini ndugu?
 
Umekosea sana kuiacha Noah/kirikuu na jamii zake....kila kwenye trafik lzm wakunase, unaweza wasusia....
 
Umekosea sana kuiacha Noah/kirikuu na jamii zake....kila kwenye trafik lzm wakunase, unaweza wasusia....
Unakimbia unacha gari ,kirikuu sijui waliharibu wapi maana wanateseka
 
Itakuwa ulikuwa unasukuma kitu kikubwa km Range labda, nchi hakuna maaskari walafi kama bk hasa muleba na misenyi yamelaaniwa yale
Sio range sema ni gari yenye hadhi hadhi,hawajawahi yaani.Hiyo route ya Mwz bk ni mara ya pili naenda.
 
Bila kusahau suzuki carry
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…