Habari wanajamii.
Nina tatizo wandugu. Gari yangu imekuwa na tabia ya kutetemeka engine kiasi kwamba hadi stealing inatetemeka. Hii hutokea hasa nikiwa nimesimama. Gari ikitembea haitokei. Nimejaribu kucheki na baadhi ya mafundi ila hamna mafanikio.
Gari niliagiza japan na tatizo lipo toka nimelinunua. Naomba msaada wenu kama kuna ameshapata masaibu haya na vilevile labda Fundi ambaye anaweza nisaidia.
Ahsanteni wandugu