Gari kutetemeka

Gari kutetemeka

chayowa

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2011
Posts
413
Reaction score
110
Habari wanajamii.
Nina tatizo wandugu. Gari yangu imekuwa na tabia ya kutetemeka engine kiasi kwamba hadi stealing inatetemeka. Hii hutokea hasa nikiwa nimesimama. Gari ikitembea haitokei. Nimejaribu kucheki na baadhi ya mafundi ila hamna mafanikio.

Gari niliagiza japan na tatizo lipo toka nimelinunua. Naomba msaada wenu kama kuna ameshapata masaibu haya na vilevile labda Fundi ambaye anaweza nisaidia.

Ahsanteni wandugu
 
Habari wanajamii. Nina tatizo wandugu. Gari yangu imekuwa na tabia ya kutetemeka engine kiasi kwamba hadi stealing inatetemeka. Hii hutokea hasa nikiwa nimesimama. Gari ikitembea haitokei. Nimejaribu kucheki na baadhi ya mafundi ila hamna mafanikio. Gari niliagiza japan na tatizo lipo toka nimelinunua. Naomba msaada wenu kama kuna ameshapata masaibu haya na vilevile labda Fundi ambaye anaweza nisaidia.
Ahsanteni wandugu

Mara nyingi gari kutetemeka huwa engine mounting zimekatika engine mounting ni viraba fulani vidogo ambavyo hufunga engine kwenye sehemu ya gari, ingekuwa vyema ukasema gari lako ni la aina gani na kama linatumia petrol au dizel kwa msaada zaidi.
 
Habari wanajamii. Nina tatizo wandugu. Gari yangu imekuwa na tabia ya kutetemeka engine kiasi kwamba hadi stealing inatetemeka. Hii hutokea hasa nikiwa nimesimama. Gari ikitembea haitokei. Nimejaribu kucheki na baadhi ya mafundi ila hamna mafanikio. Gari niliagiza japan na tatizo lipo toka nimelinunua. Naomba msaada wenu kama kuna ameshapata masaibu haya na vilevile labda Fundi ambaye anaweza nisaidia.
Ahsanteni wandugu

Mkuu mie sio fundi lkn nilipata hilo la kutetemeka kwa gari few weeks ago...Nilidhani ni Engine Mounting maana pia huwa inasababisha mtetemo wa gari ikiwa imeisha au nuts kulegea...lakini nilipopeleka kwa mafundi sema ndo hivyo tena niko nchi za watu, wakaweka kwa computer na kukuta kitu kwenye engine so wakakitoa na sasa mambo yako fresh, Je, ukiendesha usukani huwa hutetemeki, kama unatetemeka jaribu kufungua tairi na kusafisha maybe kuna matope yameingia kwa rims...Au peleka kwa mafundi wenye computer waconnect then kila tatizo litaonekana na kuwa solved mkuu...
 
Itakuwa ina kifafa iwaishe pale Toyota Pugu road waipe tiba.
 
Mara nyingi gari kutetemeka huwa engine mounting zimekatika engine mounting ni viraba flani vidogo ambavyo hufunga engine kwenye sehemu ya gari, ingekuwa vyema ukasema gari lako ni la aina gani na kama linatumia petrol au dizel kwa msaada zaidi.

Tatizo sio kubwa maanake engine inakosa mafuta yakutosha kwenye kabureta kuna vidude vinaitwa jets vikiziba engine huwa inatetemeka suluhisho badilisha au safisha au ongeza reving kwakuadjust accelerator cable kwenye engine ndomana ukitembea aitetemeka

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Wadau wamesema mengi ya muhimu,nami naomba kuongezea japokuwa mimi siyo fundi magari,niliwahi kupata tatizo kama hilo japokuwa gari haikuwa inatetemeka sana lkn nilipoenda kwa fundi akabadilisha spark plugs na tatizo likaisha.
Kama gari yako inatumia petrol,wakati likiwa kwenye silence jaribu kuangalia kama zote zinachoma,kwa kuchomoa moja baada ya nyingine.
 
Engine mounting na silence ndio vitu vya kuangalia mkuu na vile vile ingekuwa vizuri kama ungesema uko wapi ili upate kuelekezwa mafundi wazuri.
 
Wadau wamesema mengi ya muhimu,nami naomba kuongezea japokuwa mimi siyo fundi magari,niliwahi kupata tatizo kama hilo japokuwa gari haikuwa inatetemeka sana lkn nilipoenda kwa fundi akabadilisha spark plugs na tatizo likaisha.
Kama gari yako inatumia petrol,wakati likiwa kwenye silence jaribu kuangalia kama zote zinachoma,kwa kuchomoa moja baada ya nyingine.

kwa zaidi ya asilimia kibao hii ndo yaweza kuwa tiba manake kama baadhi ya plug hazichomi lazma itatetemeka na pengine hata silenser isikae
 
Mara nyingi gari kutetemeka huwa engine mounting zimekatika engine mounting ni viraba flani vidogo ambavyo hufunga engine kwenye sehemu ya gari, ingekuwa vyema ukasema gari lako ni la aina gani na kama linatumia petrol au dizel kwa msaada zaidi.

Ni starlet glanza mkuu. Yenye turbo. Fundi wengi walioiona walisema hivyo ila wakitizama wanasema sio
 
Mkuu mie sio fundi lkn nilipata hilo la kutetemeka kwa gari few weeks ago...Nilidhani ni Engine Mounting maana pia huwa inasababisha mtetemo wa gari ikiwa imeisha au nuts kulegea...lakini nilipopeleka kwa mafundi sema ndo hivyo tena niko nchi za watu, wakaweka kwa computer na kukuta kitu kwenye engine so wakakitoa na sasa mambo yako fresh, Je, ukiendesha usukani huwa hutetemeki, kama unatetemeka jaribu kufungua tairi na kusafisha maybe kuna matope yameingia kwa rims...Au peleka kwa mafundi wenye computer waconnect then kila tatizo litaonekana na kuwa solved mkuu...

Thanx mkuu.... Labda nijaribu kuwacheki hao. Ikitembea haitetemeki mkuu
 
Habari wanajamii. Nina tatizo wandugu. Gari yangu imekuwa na tabia ya kutetemeka engine kiasi kwamba hadi stealing inatetemeka. Hii hutokea hasa nikiwa nimesimama. Gari ikitembea haitokei. Nimejaribu kucheki na baadhi ya mafundi ila hamna mafanikio. Gari niliagiza japan na tatizo lipo toka nimelinunua. Naomba msaada wenu kama kuna ameshapata masaibu haya na vilevile labda Fundi ambaye anaweza nisaidia.
Ahsanteni wandugu

Ebu jaribu kubadilisha plugs pia!
 
Tatizo sio kubwa maanake engine inakosa mafuta yakutosha kwenye kabureta kuna vidude vinaitwa jets vikiziba engine huwa inatetemeka suluhisho badilisha au safisha au ongeza reving kwakuadjust accelerator cable kwenye engine ndomana ukitembea aitetemeka

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Ahsante mkuu. Labda kubadili aisee kwani nimeshavizungusha sana ili kubalance. Inatokea sana hata ukiwa kwenye parking.
 
Wadau wamesema mengi ya muhimu,nami naomba kuongezea japokuwa mimi siyo fundi magari,niliwahi kupata tatizo kama hilo japokuwa gari haikuwa inatetemeka sana lkn nilipoenda kwa fundi akabadilisha spark plugs na tatizo likaisha.
Kama gari yako inatumia petrol,wakati likiwa kwenye silence jaribu kuangalia kama zote zinachoma,kwa kuchomoa moja baada ya nyingine.

Fundi wengi walisema the same. Ikabidi nizibadili zote lakini tatizo bado. Na hii ilivhangia tuwaze ni plugs kwani pia bomba lake la Moshi linakuwa na weusu pia
 
Back
Top Bottom