Barca
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 1,448
- 1,624
Wakuu na mimi gari yangu inashida hiyo, lakini pia mara kadhaa sasa taa ya check engine inawaka na ikiwaka speedometer namba hazitembei yaani inasoma zero tu huku gari inatembea. Nikisimama na kuzima na kuwasha tena hali hii inaisha. Mbali na hiyo kunataa ya ABS kwenye dash board inawaka tu wakati wote kila nikipeleka kwa mafundi tatizo haliishi la abs kuwaka initially ilikuwa haiwaki ilitokea ghafla baada ya kufunga break ghafla. Gari yangu ni NADIA na nipo songea
