Habari wanajamii. Nina tatizo wandugu. Gari yangu imekuwa na tabia ya kutetemeka engine kiasi kwamba hadi stealing inatetemeka. Hii hutokea hasa nikiwa nimesimama. Gari ikitembea haitokei. Nimejaribu kucheki na baadhi ya mafundi ila hamna mafanikio. Gari niliagiza japan na tatizo lipo toka nimelinunua. Naomba msaada wenu kama kuna ameshapata masaibu haya na vilevile labda Fundi ambaye anaweza nisaidia.
Ahsanteni wandugu

Mara nyingi gari kutetemeka huwa engine mounting zimekatika engine mounting ni viraba flani vidogo ambavyo hufunga engine kwenye sehemu ya gari, ingekuwa vyema ukasema gari lako ni la aina gani na kama linatumia petrol au dizel kwa msaada zaidi.
Wadau wamesema mengi ya muhimu,nami naomba kuongezea japokuwa mimi siyo fundi magari,niliwahi kupata tatizo kama hilo japokuwa gari haikuwa inatetemeka sana lkn nilipoenda kwa fundi akabadilisha spark plugs na tatizo likaisha.
Kama gari yako inatumia petrol,wakati likiwa kwenye silence jaribu kuangalia kama zote zinachoma,kwa kuchomoa moja baada ya nyingine.

Mkuu mie sio fundi lkn nilipata hilo la kutetemeka kwa gari few weeks ago...Nilidhani ni Engine Mounting maana pia huwa inasababisha mtetemo wa gari ikiwa imeisha au nuts kulegea...lakini nilipopeleka kwa mafundi sema ndo hivyo tena niko nchi za watu, wakaweka kwa computer na kukuta kitu kwenye engine so wakakitoa na sasa mambo yako fresh, Je, ukiendesha usukani huwa hutetemeki, kama unatetemeka jaribu kufungua tairi na kusafisha maybe kuna matope yameingia kwa rims...Au peleka kwa mafundi wenye computer waconnect then kila tatizo litaonekana na kuwa solved mkuu...
Ni starlet glanza mkuu. Yenye turbo. Fundi wengi walioiona walisema hivyo ila wakitizama wanasema sio
Habari wanajamii. Nina tatizo wandugu. Gari yangu imekuwa na tabia ya kutetemeka engine kiasi kwamba hadi stealing inatetemeka. Hii hutokea hasa nikiwa nimesimama. Gari ikitembea haitokei. Nimejaribu kucheki na baadhi ya mafundi ila hamna mafanikio. Gari niliagiza japan na tatizo lipo toka nimelinunua. Naomba msaada wenu kama kuna ameshapata masaibu haya na vilevile labda Fundi ambaye anaweza nisaidia.
Ahsanteni wandugu
Tatizo sio kubwa maanake engine inakosa mafuta yakutosha kwenye kabureta kuna vidude vinaitwa jets vikiziba engine huwa inatetemeka suluhisho badilisha au safisha au ongeza reving kwakuadjust accelerator cable kwenye engine ndomana ukitembea aitetemeka
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Wadau wamesema mengi ya muhimu,nami naomba kuongezea japokuwa mimi siyo fundi magari,niliwahi kupata tatizo kama hilo japokuwa gari haikuwa inatetemeka sana lkn nilipoenda kwa fundi akabadilisha spark plugs na tatizo likaisha.
Kama gari yako inatumia petrol,wakati likiwa kwenye silence jaribu kuangalia kama zote zinachoma,kwa kuchomoa moja baada ya nyingine.
Engine mounting na silence ndio vitu vya kuangalia mkuu na vile vile ingekuwa vizuri kama ungesema uko wapi ili upate kuelekezwa mafundi wazuri.