Ni starlet glanza mkuu. Yenye turbo. Fundi wengi walioiona walisema hivyo ila wakitizama wanasema sio
Aisee, watu wengi wenye starlet wanalalamika hii makitu. Inaelekea utakuwa ugonjwa mkubwa wa starlet.
Aisee, watu wengi wenye starlet wanalalamika hii makitu. Inaelekea utakuwa ugonjwa mkubwa wa starlet.
Dah!!!! Hamna aliyefanikiwa kamanda
Dah!!!! Hamna aliyefanikiwa kamanda
Inategemea uko wapi!
Kama uko Arusha au Iringa basi itakuwa na baridi kali uwe unaifunika na sweta!
Kama ni Dar au Mwanza basi itakuwa na degedege! Joto lote hili?
Starlet hazitengenezwi na Toyota?
Kuna jamaa yangu mafundi wamemlia hela mpaka ameamua kukomaa nayo hivyohivyo. Ukiwa umesimama ukiweka Neutral kutetemeka kunapungua, ndivyo anavyofanya.
Starlet ni Toyota.
Toyota Pugu road hampafahamu kweli?
Hamna kitu wale mabweg.e. Wanachukua hela ndefu afu hamna wanachokifanya.
Ha ha haaa ha haaaaaaaInategemea uko wapi!
Kama uko Arusha au Iringa basi itakuwa na baridi kali uwe unaifunika na sweta!
Kama ni Dar au Mwanza basi itakuwa na degedege! Joto lote hili?
Ukibadili plugs na bado kukawa na tatizo check hizo plug cables as sometimes hurusha spark nje . Hii pia ni sababu! Hata fuel consumption ni kubwa na harufu na mafuta mabichi husikika kwenye pua zako!