Gari la Ikulu ya Rais wa Kenya laibwa na kukamatwa mjini Moshi nchini Tanzania

Gari la Ikulu ya Rais wa Kenya laibwa na kukamatwa mjini Moshi nchini Tanzania

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
12,835
Reaction score
23,584
Katika hali ya kushangaza gari la Ikulu ya Rais Uhuru Kenyatta aina ya Nissan Patroll V8 black limekamatwa mjini Bomang'ombe wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro.

Kwa mujibu wa RPC Kilimanjaro watu watatu wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa mahojiano zaidi.

Source: azam TV

=======

Jeshi la polisi linawashikilia watu wawili wakazi wa Moshi kwa kukutwa na gari inayosadikiwa kumilikiwa na Ikulu ya Nairobi nchini Kenya ambayo inasadikiwa kuibwa nchini Kenya tarehe 19 Agosti.

Gari aina ya Nissan V8 yenye Namba za Usajili KCP 184 RV. Lakini ilikuwa imebandikwa T954 DEQ ilikamatwa ikiwa njiani ikielekea Kilimanjaro ikitokea nchini Kenya. Imekamatwa kwenye belia ya Msomali Boma ng'ombe. Tarehe 19 kulikuwa na taarifa ya gari aina ya V8 kuibiwa Kenya na gari ndo hii.
IMG_20180820_230015.png

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duh! kueni makini kuna namna hapo gari ya rais si rahisi kuibiwa.. nafikiri kuna kitu kimejificha,ngumu mtu kuanza kufikiri kwenda kuiba gari ya rais.
 
Katika hali ya kushangaza gari la Ikulu ya Rais Uhuru Kenyatta aina ya Nissan Patroll V8 black limekamatwa mjini boning'ombe wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro.

Kwa mujibu wa RPC Kilimanjaro watu watatu wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa mahojiano zaidi.

Source: azam TV

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni Mara ya pili gari la ikuru kuibiwa nakubuka kipindi cha Mwai Kibaki pia waliiba gari na ikashikiwa Moshi pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bali ni "viatu". Akutukanaye hakuchagulii tusi. Ni hivyo tu. Kwa hiyo hayo yanayoibiwa Cape au Jberg na kukamatiwa darisalama ni wachaga wanayaibaga?? Basi kwa ufahamisho wako, Hakuna mwizi wa magari mzuri kama Muhaya na Mkikuyu.
Gari kukamatiwa Bomang'ombe haimaanishi ni mchaga aliliiba. It was on transit man
Mkuu unaweza kuthibitisha kwamba wahaya ni wezi wazuri wa magari!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni tuhuma ambazo hazijathibitishwa. Kilimanjaro ni nearest boarder region baada ya ARUSHA. Sasa kwa nini isiwe ni Njia pia? Cha msingi hapa tufahamu majina ya wezi ili uwe umefanikisha best judgement.
 
Back
Top Bottom