Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa kabisa mkuu. Dunia ya leo ni hatari na nusu. Pesa mbele mauti nyumaNimemwambia pia huyo kolo, mchakato wa kulipwa unapangwa kabla hata hujapiga tukio! Unatembeza kibunda tu kisha unafanya yako 😅😅😅 unasubiria miezi kadhaa mzigo unaingizwa bank au chombo mpya inanunuliwa!
Serikali haijaufyata gaidi yupo nyuma ya nondo mpaka atakapomleta dereva wa Lisu.Na serikali ikaufyata!. Kwamba gaidi akazidi kutamba, wala pasiwe na mtu wa kukohoa!. Kwamba serikali haijui aliko huyo driver ama haina ubavu wa kumchukua!. Hapa unaelewa unachomaanisha kwamba nchi haina serikali?
Ndio baba yake ni Askofu mkuu mstaafu wa T.A.G anaitwa Mwenisongole yupo hapo Upanga CCC. Ana bonge la kanisa hapoKumbe ni mtoto wa mtumishi
Ili alipwe na bima.Hamna gari hapo,
Kauza limeshindikana kaamua alichome mwenyewe.
Alafu unakiwa mkali kweli.. unawatishia utawatoa kwenye vyombo vya habari huku kiroho kinakudundaHawana namna mkuu lazima wamlipe. Unawasha njiti ya kiberiti unatupia ndani ya gari karibu na kibanda cha kuchomea chips halafu unawaambia bima cheche ya moto wa chips ndiyo chanzo. Unavuta mkwanja
Unawasema chadema bure kawanini isitokee moshi,musoma na maeneo mengine kwani chadema kote ipo,sasa nakupa siri kwa hilo kabila la huko ashukuru mungu wamechoma gari tu,ninavyo wajua wao huwa wana adhibu nyumba gari mifugo watoto mke na kila kilicho chako wakiwa na hasira mfano wao ni wameru wa arushaa,wana hasira ya radi ukiwauzi![]()
Inasikitisha! Usiku wa kuamkia leo gari la mbunge wa jimbo la Songwe Mhe. George Mwenisongole aina ya Brevis limechomwa moto na watu wasiojulikana.
Imehisiwa kuwa hizo ni siasa za chuki zinazoendekezwa na Chadema nchini kote.
Gumzo!! Gari la Mbunge lachomwa moto na watu wasiojulikana.
===
Usiku wa kuamkia leo 29/09/2021 gari la mbunge wa jimbo la Mbozi Mh.George Mwenisongole aina ya Brevis T 231 DDZ imechomwa moto na watu wasio julikana nyumbani kwake Ichenjezya Vwawa Mbozi Songwe .
Akizungumza Mkuu wa Mkoa wa Songwe Omary Mgumba ambae ni Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama Mkoa amesama chanzo cha tukio hilo hakijajulikana na waliofanya tukio hilo bado hawajajulikana hivyo wameviachia vyombo husika kufanya upelelezi na utakapokamilika waliohusika watawajibishwa.
Chanzo: Millard Ayo
Unaona eeeh mkuu! Hapa bongo kila kitu kinawezekanaAlafu unakiwa mkali kweli.. unawatishia utawatoa kwenye vyombo vya habari huku kiroho kinakudunda
Kweli ukiwa kambi ile, ama uwe mwehu ama uwe mchawi.Serikali haijaufyata gaidi yupo nyuma ya nondo mpaka atakapomleta dereva wa Lisu.
Kwamba pesa ya kulipwa tayari imeshatengwa kabla ya ajali yenyewe....Kulipwa ni mchakato ambao unauandaa kabla hata hujachoma gari 😅
Acha ushoga....![]()
Inasikitisha! Usiku wa kuamkia leo gari la mbunge wa jimbo la Songwe Mhe. George Mwenisongole aina ya Brevis limechomwa moto na watu wasiojulikana.
Imehisiwa kuwa hizo ni siasa za chuki zinazoendekezwa na Chadema nchini kote.
Gumzo!! Gari la Mbunge lachomwa moto na watu wasiojulikana.
===
Usiku wa kuamkia leo 29/09/2021 gari la mbunge wa jimbo la Mbozi Mh.George Mwenisongole aina ya Brevis T 231 DDZ imechomwa moto na watu wasio julikana nyumbani kwake Ichenjezya Vwawa Mbozi Songwe .
Akizungumza Mkuu wa Mkoa wa Songwe Omary Mgumba ambae ni Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama Mkoa amesama chanzo cha tukio hilo hakijajulikana na waliofanya tukio hilo bado hawajajulikana hivyo wameviachia vyombo husika kufanya upelelezi na utakapokamilika waliohusika watawajibishwa.
Chanzo: Millard Ayo
Wezi wa kura, watekaji, watesaji, wabambikiaji watu kesi za ugaidi hawastahili kuishi kwa amani. Safi sana![]()
Inasikitisha! Usiku wa kuamkia leo gari la mbunge wa jimbo la Songwe Mhe. George Mwenisongole aina ya Brevis limechomwa moto na watu wasiojulikana.
Imehisiwa kuwa hizo ni siasa za chuki zinazoendekezwa na Chadema nchini kote.
Gumzo!! Gari la Mbunge lachomwa moto na watu wasiojulikana.
===
Usiku wa kuamkia leo 29/09/2021 gari la mbunge wa jimbo la Mbozi Mh.George Mwenisongole aina ya Brevis T 231 DDZ imechomwa moto na watu wasio julikana nyumbani kwake Ichenjezya Vwawa Mbozi Songwe .
Akizungumza Mkuu wa Mkoa wa Songwe Omary Mgumba ambae ni Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama Mkoa amesama chanzo cha tukio hilo hakijajulikana na waliofanya tukio hilo bado hawajajulikana hivyo wameviachia vyombo husika kufanya upelelezi na utakapokamilika waliohusika watawajibishwa.
Chanzo: Millard Ayo
Bashite??![]()

Unajuaje mwenendo wake kama ni viasasi je. Wewe unakimbilia chadema isaaidie basi polisi![]()
Inasikitisha! Usiku wa kuamkia leo gari la mbunge wa jimbo la Songwe Mhe. George Mwenisongole aina ya Brevis limechomwa moto na watu wasiojulikana.
Imehisiwa kuwa hizo ni siasa za chuki zinazoendekezwa na Chadema nchini kote.
Gumzo!! Gari la Mbunge lachomwa moto na watu wasiojulikana.
===
Usiku wa kuamkia leo 29/09/2021 gari la mbunge wa jimbo la Mbozi Mh.George Mwenisongole aina ya Brevis T 231 DDZ imechomwa moto na watu wasio julikana nyumbani kwake Ichenjezya Vwawa Mbozi Songwe .
Akizungumza Mkuu wa Mkoa wa Songwe Omary Mgumba ambae ni Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama Mkoa amesama chanzo cha tukio hilo hakijajulikana na waliofanya tukio hilo bado hawajajulikana hivyo wameviachia vyombo husika kufanya upelelezi na utakapokamilika waliohusika watawajibishwa.
Chanzo: Millard Ayo
Bima itamlipa kama aliweka cover ya ajali ya moto.....Bima itamlipa
Ova