Gari la mbunge wa Songwe lachomwa moto na watu wasiojulikana

George Mwenisongole sadaka za baba yako pale CCC UPANGA zimekupa ubunge. Safi sana.
 
Nimemwambia pia huyo kolo, mchakato wa kulipwa unapangwa kabla hata hujapiga tukio! Unatembeza kibunda tu kisha unafanya yako 😅😅😅 unasubiria miezi kadhaa mzigo unaingizwa bank au chombo mpya inanunuliwa!
Sawa kabisa mkuu. Dunia ya leo ni hatari na nusu. Pesa mbele mauti nyuma
 
Na serikali ikaufyata!. Kwamba gaidi akazidi kutamba, wala pasiwe na mtu wa kukohoa!. Kwamba serikali haijui aliko huyo driver ama haina ubavu wa kumchukua!. Hapa unaelewa unachomaanisha kwamba nchi haina serikali?
Serikali haijaufyata gaidi yupo nyuma ya nondo mpaka atakapomleta dereva wa Lisu.
 
Hamna gari hapo,
Kauza limeshindikana kaamua alichome mwenyewe.
Ili alipwe na bima.
Tangu lini ukiona gari namba D linauzwa milioni mbili laki tatu. Hilo ukilinunua ujue Ni Banda la kuku.
HALIUZIKI
 
Hawana namna mkuu lazima wamlipe. Unawasha njiti ya kiberiti unatupia ndani ya gari karibu na kibanda cha kuchomea chips halafu unawaambia bima cheche ya moto wa chips ndiyo chanzo. Unavuta mkwanja
Alafu unakiwa mkali kweli.. unawatishia utawatoa kwenye vyombo vya habari huku kiroho kinakudunda
 
WhatsApp-Image-2021-09-29-at-9.21.29-AM-660x400.jpeg

Inasikitisha! Usiku wa kuamkia leo gari la mbunge wa jimbo la Songwe Mhe. George Mwenisongole aina ya Brevis limechomwa moto na watu wasiojulikana.

Imehisiwa kuwa hizo ni siasa za chuki zinazoendekezwa na Chadema nchini kote.

Gumzo!! Gari la Mbunge lachomwa moto na watu wasiojulikana.

===
Usiku wa kuamkia leo 29/09/2021 gari la mbunge wa jimbo la Mbozi Mh.George Mwenisongole aina ya Brevis T 231 DDZ imechomwa moto na watu wasio julikana nyumbani kwake Ichenjezya Vwawa Mbozi Songwe .

Akizungumza Mkuu wa Mkoa wa Songwe Omary Mgumba ambae ni Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama Mkoa amesama chanzo cha tukio hilo hakijajulikana na waliofanya tukio hilo bado hawajajulikana hivyo wameviachia vyombo husika kufanya upelelezi na utakapokamilika waliohusika watawajibishwa.

Chanzo: Millard Ayo
Unawasema chadema bure kawanini isitokee moshi,musoma na maeneo mengine kwani chadema kote ipo,sasa nakupa siri kwa hilo kabila la huko ashukuru mungu wamechoma gari tu,ninavyo wajua wao huwa wana adhibu nyumba gari mifugo watoto mke na kila kilicho chako wakiwa na hasira mfano wao ni wameru wa arushaa,wana hasira ya radi ukiwauzi
 
WhatsApp-Image-2021-09-29-at-9.21.29-AM-660x400.jpeg

Inasikitisha! Usiku wa kuamkia leo gari la mbunge wa jimbo la Songwe Mhe. George Mwenisongole aina ya Brevis limechomwa moto na watu wasiojulikana.

Imehisiwa kuwa hizo ni siasa za chuki zinazoendekezwa na Chadema nchini kote.

Gumzo!! Gari la Mbunge lachomwa moto na watu wasiojulikana.

===
Usiku wa kuamkia leo 29/09/2021 gari la mbunge wa jimbo la Mbozi Mh.George Mwenisongole aina ya Brevis T 231 DDZ imechomwa moto na watu wasio julikana nyumbani kwake Ichenjezya Vwawa Mbozi Songwe .

Akizungumza Mkuu wa Mkoa wa Songwe Omary Mgumba ambae ni Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama Mkoa amesama chanzo cha tukio hilo hakijajulikana na waliofanya tukio hilo bado hawajajulikana hivyo wameviachia vyombo husika kufanya upelelezi na utakapokamilika waliohusika watawajibishwa.

Chanzo: Millard Ayo
Acha ushoga....
 
Wezi wa kura, watekaji, watesaji, wabambikiaji watu kesi za ugaidi hawastahili kuishi kwa amani. Safi sana
 
WhatsApp-Image-2021-09-29-at-9.21.29-AM-660x400.jpeg

Inasikitisha! Usiku wa kuamkia leo gari la mbunge wa jimbo la Songwe Mhe. George Mwenisongole aina ya Brevis limechomwa moto na watu wasiojulikana.

Imehisiwa kuwa hizo ni siasa za chuki zinazoendekezwa na Chadema nchini kote.

Gumzo!! Gari la Mbunge lachomwa moto na watu wasiojulikana.

===
Usiku wa kuamkia leo 29/09/2021 gari la mbunge wa jimbo la Mbozi Mh.George Mwenisongole aina ya Brevis T 231 DDZ imechomwa moto na watu wasio julikana nyumbani kwake Ichenjezya Vwawa Mbozi Songwe .

Akizungumza Mkuu wa Mkoa wa Songwe Omary Mgumba ambae ni Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama Mkoa amesama chanzo cha tukio hilo hakijajulikana na waliofanya tukio hilo bado hawajajulikana hivyo wameviachia vyombo husika kufanya upelelezi na utakapokamilika waliohusika watawajibishwa.

Chanzo: Millard Ayo
Bashite??
 
Unajuaje mwenendo wake kama ni viasasi je. Wewe unakimbilia chadema isaaidie basi polisi

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Bima itamlipa

Ova
Bima itamlipa kama aliweka cover ya ajali ya moto.....
wengi wanaishia kuweka ajali za barabarani gari inapotembea ikagonga, ikagogwa ama ikaanguka na kuungua.....
lkn hii inayochomwa makusudi bima hawalipagi inategemea na terms za mkataba lakini
 
Back
Top Bottom