Gari mpya ya kifahari ya Diamond Platnumz

Dangote but all in all zakwake xo zangu japo mm xhabiki wake inabd nitafte changu hahaha aah MB zenyewe znsnipa tiz kununua xo hayo kwangu still not capable
 
Ali Kiba ana uwezo wa kununua kama hayo hata matano lakini hapendi show off tu kama huyu. Ndio maana kazaliwa Tandale
Angekua na huo uwezo angenunua
 
Tafuta vyako wew mchawi
 
hutu tugari arusha vijana wanatembelea kitaa sana,hakuna cha kushangaza hapo
 
Ngoja ayaendeshe kama kweli ni lake amesota sana mbagala
 
Utashangaa midume pia inamwita simba,dunia imevaa koti.....
 
Poor Diamon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…