Gari mpya ya kifahari ya Diamond Platnumz

Mbona plate ya bongo,alafu mazingira ni kama mbele hujo

Huyu boya anafanya promo ya hit nyingine nn??
 
Mwenyewe ameweka picha kama promo ya uzinduzi wa nyimbo yake; mtu amekimbilia hapa bila kuelewa lengo lake na kuweka habari hii, mtu kama huyu akiombwa atachomoa kweli?
Hachomoi kabisa mlaini kama shilole
 
Ali Kiba ana uwezo wa kununua kama hayo hata matano lakini hapendi show off tu kama huyu. Ndio maana kazaliwa Tandale
Alikiba hata nyumba tu inamsumbua ndio anunue hiyo acha utani kbs na hiyo kitu inaitwa weka mbali na watoto. Mziki mzuri yy sauti tu ila mafanikio amuachie mond.
 
Wachawi nawaonaaa mnakula tu ubuyuuu[emoji23][emoji23][emoji23] simba ka nguruma
 
KAMA HII GARI KWELI NI YA NASSIB, AISEE JF ITANIKOMA KUNA JAMAA MSUMBUFU KWELI UKIONGELEA HIZI SIDE MBILI.
NITAPOST GARI KATIKA KILA COMMENT NITAKAYO REPLY (MODS PLEASE)
 
mlango si mlango mpaka ufunguliwe au uachwe wazi
 
mlango si mlango mpaka ufunguliwe au uachwe wazi

Tofauti ya Kufungwa au Kuachwa wazi ndio inaouita mlango

Tofauti ya act 1 na act 2 ni muda (time)

kuna muda wa kufunga na muda wa kufungua

ukiondoa time

unapata mlango katika hali zote mbili

na bado haukidhi mahitaji ya mlango
 
Diamond pamoja na umri wake mdogo ila ana akili ya kugundua mashabiki wake wengi vilazà hua anawajambisha kidogo tu kwenye mitandao basi lazima wakurupuke na kuongea wasiyoyajua mfano leo akipiga picha na Beyonce watajaa hapa kua Diamond kamnyang'anya Jay Z mke na shangwe za kuita shemeji heeeee heeeee kuna watu viazi jamani khaaaaa.
 
Sio Simba sio chui sio mamba hooooooo Jaya WA kujigamba hooooooo bampa to bampa hooo
 
Thubutuuuuuu.

Gari kama hiyo ataishia kufanya nazo video tu na si kui-miliki
 
Uooooongo m10 kulipia jina....??? Taratibu ni zile zile hta ungeandika jesua.... ni governmnt title tu ndo mushkir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…