Gari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo

Gari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo

Ngoma ikivuma sana ujue inakaribia kupasuka, ndiyo wanamalizia malizia utukufu wao, soon Taifa litarudi kwenye misingi ya Utawala Bora na ustaarab ambapo tofauti za kiitikadi hazitaonekana ni uhasama, tutafoutiana kwenye hoja lakini tutabaki kuwa wamoja kama Taifa.
Hakika tuzidi kumuomba mungu atusimamie ili tufikie huo muda
 
Alaf eti ndo Wanachama milion 20, yaan chama kinachopendwa kila kona kinashindwaje kuwaita hata wanachama 100 tu wakapandisha bendera??? ccm kwisha kwisha kbsa ndembe ndembe mlalo wa mbuzi kagoma kwenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo kodi inakusanywa na nani? Serikali inaongozwa na nani?hivi hua mnafikiri kwa kichwa au makalio?huwezi kutenga chama serikali na chochote kile ktk nchi..popote duniani
WAFUNGWA na askari magereza na magari yao vyote vinatumia kodi za watanzania, hakuna senti hata moja inayotoka mfukoni mwa ccm.
 
Kubali kuwa mmefanya makosa na mtahukumiwa kulingana na myatendayo
Hiyo kodi inakusanywa na nani? Serikali inaongozwa na nani?hivi hua mnafikiri kwa kichwa au makalio?huwezi kutenga chama serikali na chochote kile ktk nchi..popote duniani
 
Kubali kuwa mmefanya makosa na mtahukumiwa kulingana na myatendayo
Kina nani? Mnadhani kila anaeona ukweli ni CCM? watu mmepoteza dira mnaenda kama wanyama Nyumbu.
 
Back
Top Bottom