Gari nimenunua Afrika Kusini Milioni 4, kodi Tanzania Milioni 18!


Gari ya mwaka gani?gari used ndio zina ushuru mkubwa zaidi mkuu
 
Kodi kwetu ni tools factor za kucontrol watu lengo la kutoza kodi kubwa ili kuwafanya wengi wawe masikini ili iwe rahisi kuwatawala
 
Ushauri: kama Gari lipo kwenye meli, na meli umefika bandarini lishushe litumbukize kwenye maji kesi imeishaa! Usengee huu 4.5 mpaka almost 5 times??
True kuliko kuwaachia wapige mnada heri nimpe mwenye meli akalitupe baharini.
 
aina gani ya gari
 
VW mpyaaaa halafu ushuru wake milioni98
Aisee
 
Acha kudanganya mwenzio. Kubali cha kuingiza hari na kukaa nalo miezi 3 kinatolewa kwa mtu asie raia. Kama kuna mtamzania unamjua alipewa kibali hicho alipewa kwa rushwa. Halafu calculator ni kwa magari yote hata yanayopita mipakani.
Ila siamini toyota hilux linaweza.kununuliwa kwa 4.5.
 
Pole
 
Hivi na ukinunua gari jipya unalipa hela nyingi au? Ile Calculator ya TRA imeandikwa tu Used.... sijaona ya New.
 
Hiyo hata mimi ilinitokea litembelea nchi flani hivi nikakutana na gari ya bwerere. Ile kuuliza ushuru ukaja mara tatu zaidi ya bei nliyo ambiwa. Hapo nkakumbuka ule usemi usemao UKIONA MTU MZIMA ANALIA UJUE KUNA JAMBO.
 
Ulikuwa unaishi huko?Limesajiliwa kwa jina lako huko?Kama ni hivyo kuna namna ya kuingiza gari bila stress
 
kununua kwa mtu ni maelewano yao....
 
Hiyo bei si ya calculator ya TRA?, subiria mengine kama ukaguzi na vilivyomo ndani yake ndio utajua Toyota Hilux sio pikipiki na TRA sio ndugu zako kabisa.
Sasa hivi kuagiza kitu nje ujipange kwanza na yataka moyo wa chuma
Ukaguzi wa vilivyomo ndani kama nini mkuu?hebu tuweke wazi.
Mi najia ukishapiga hesabu kwenye hiyo calculator ya kaizari umemeliza,kwani kuna kuwa na gharama nyingine za ziada?
 
Kwahiyo kwa njia ya barabara ushuru wake ni tofauti na uliopo kwenye calculator ya TRA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…