Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Toyota hilux zinatengenezwa SA?Mkuu hujachelewa kama unaweza nenda SA Pretoria Sunnyside,Ministry of Export and Trade utapeleka documents za hiyo gari zote kama gari imetengenezwa SA kwa Nchi za SADC wana makubaliano ya kupunguziana kodi utalipa nusu ya kodi uliyoiona kwenye calculator ya TRA ipo kisheria ila TRA ilitakiwa watoe Elimu hiyo mnaosafiri mjue ukikaa kimya ulinalipa zote Mimi Toyota Land cruiser hard top pick up ya 2013 ilisoma 47 Million kodi nilipokuja na documents za SA ikapungua mpaka nusu yake na kule hivyo vibali unapata ndani ya siku tatu...hiyo ni kwa gari zote mpya na used ilimradi iwe ni SA brand sio nao waagize huku upate unafuu hapana...
Sasa kwa nini aliagiza?Kuna ndugu yangu juzi kaingiza mzgo wa laptops kutoka SA zipo km 20 hivi pamoja na cameras. Jamaa wamempiga kila item moja 100,000/= amebaki analia tu.
Sasa kwa nini aliagiza?
Alokuwa hajui kuwa atakomolewa?
Siyo kweli mkuu. Fanya utafiti wako upya. Ingiza data za gari mpya kwenye calculator ya TRA na data za gari hiyo hiyo ikiwa used labda miaka kadhaa kisha uone kodi inakuwaje. Kinachoongezeka kwenye kodi ya gari used ni kodi ya uchakavu tuu (kwa asilimia ya bei ya gari used) ambayo siyo kubwa kama asilimia ya kodi inayokokotolewa toka bei ya gari mpyaGari ya mwaka gani?gari used ndio zina ushuru mkubwa zaidi mkuu
Japan anatengeneza na SA anatengeneza pia...Toyota hilux zinatengenezwa SA?
Hili ndilo jibu sahihi mkuu.Siyo kweli mkuu. Fanya utafiti wako upya. Ingiza data za gari mpya kwenye calculator ya TRA na data za gari hiyo hiyo ikiwa used labda miaka kadhaa kisha uone kodi inakuwaje. Kinachoongezeka kwenye kodi ya gari used ni kodi ya uchakavu tuu (kwa asilimia ya bei ya gari used) ambayo siyo kubwa kama asilimia ya kodi inayokokotolewa toka bei ya gari mpya
Hutamuona tenaSidhani.
Tupe details za gari tuangalie kwenye TRA calculator kama kodi ya Toyota Hilux ya mwaka 80 ($2,000 ) ni milioni 18
Well said,calculate ya TRA ni cars fro. Japan only .sidhani kama ushuru utakuwa sawa na south Africa.Umeshaileta? Ukiileta kwa meli, umekwisha. Ukija nayo kwa njia ya bara bara unaiendesha, utaingia nayo free kama chombo cha usafiri na utakaa nayo nchini kwa kibali cha miezi mitatu, renewable for another three. Hata ushuru ukija kulipa, hautafika huko. Ile ni calculator kwa magari yanayotoka Japan, Europe na America, Asia as well.
Kama umeileta kwa meli na umekwama, nishtue nione jinsi ya kukusaidia.
Japan anatengeneza na SA anatengeneza pia...
Unamaanisha nini sijaelewa! Gari ni Toyota hilux double cabin mwaka 2005 haya nipe majibuHutamuona tena
Nimeshukuru sana ndg yangu naamini sijachelewa naanza kushughulikia hii issue now naamini hii msg ni msaada mkubwa sanaMkuu hujachelewa kama unaweza nenda SA Pretoria Sunnyside,Ministry of Export and Trade utapeleka documents za hiyo gari zote kama gari imetengenezwa SA kwa Nchi za SADC wana makubaliano ya kupunguziana kodi utalipa nusu ya kodi uliyoiona kwenye calculator ya TRA ipo kisheria ila TRA ilitakiwa watoe Elimu hiyo mnaosafiri mjue ukikaa kimya ulinalipa zote Mimi Toyota Land cruiser hard top pick up ya 2013 ilisoma 47 Million kodi nilipokuja na documents za SA ikapungua mpaka nusu yake na kule hiyo vibali unapata ndani ya siku tatu...hiyo ni kwa gari zote mpya na used ilimradi iwe ni SA brand sio nao waagize huku upate unafuu hapana...
Unapoteza muda na huyo jamaa mkuu,ye analipwa buku 7 per day mpk ifike hela ya kununua Hilux unadhani ni leo mkuu?Unamaanisha nini sijaelewa! Gari ni Toyota hilux double cabin mwaka 2005 haya nipe majibu
Kama ulitumia agent kwa ajili ya kutoka mtumie yeye anawasiliana nao tuu na kama hukulifuta kwenye hiyo wizara unatakiwa ulifute kuonesha limetoka ili usiingie gharama za roadworthy kupanda kila mwaka ni office hiyo hiyo vitu vyote hakuna complication zozote...ile karatasi ya Interpol ni muhimu inayoonyesha Nchi za SADC na DOT...Nimeshukuru sana ndg yangu naamini sijachelewa naanza kushughulikia hii issue now naamini hii msg ni msaada mkubwa sana
kuna haja ya kuomba uraia nchi jirani, maana mazingira ya nyumbani ni magumu kukuaJamani hii nchi Mungu tu aingilie kati!
Unaweza ukafurahi ukiwa ugenini dakika unagonga tu kibali kukanyaga Ardhi ya bongo na vimizigo vyako ulivotokanavyo kuhemea huko unakutana na ngumi za USO!
Yaani Toyota Hilux nimenunua Milioni 4.5 Afrika Kusini calculator ya TRA hapo bila kupepesa macho mzee baba anataka Tsh. Milioni 18.4!
Kurudi nalo nilikotoka ni issue! Wakati Afrika Kusini nimetembelea gari hiyo bila mushkeli kabisa! OMG!
Hapa kazi tuu
Kwa nini mnajiingiza wenyewe matatizoni halafu mnaanza kulaumu????Jamani hii nchi Mungu tu aingilie kati!
Unaweza ukafurahi ukiwa ugenini dakika unagonga tu kibali kukanyaga Ardhi ya bongo na vimizigo vyako ulivotokanavyo kuhemea huko unakutana na ngumi za USO!
Yaani Toyota Hilux nimenunua Milioni 4.5 Afrika Kusini calculator ya TRA hapo bila kupepesa macho mzee baba anataka Tsh. Milioni 18.4!
Kurudi nalo nilikotoka ni issue! Wakati Afrika Kusini nimetembelea gari hiyo bila mushkeli kabisa! OMG!
Hapa kazi tuu
Ulikaa nalo ughaibuni muda gani kabla ya kulileta? Kama ulitumia gari hilo kwa kipindi kilichozidi mwaka mmoja kabla ya kurudi nyumbani hulipi kodi. Hii ni pamoja na vifaa vyote vya nyumbani ambavyo ulikuwa unavitumia huko ughaibuni.***** hawa tra mm nimewachoka kabisa, kuna gari nilituma yaani ughaibuni nimenunua milion mbili za kitz, ***** mi tra inakuja nidai kodi ya milion 8.3 ***** nimechoka na hiyo nchi yenu Sirudi milele