Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Naona madalali mnaanza kujitokezaKuna nyuzi zinakuaga za hovyo majnun....
Ebu ngoja niende zangu church..
Na wewe unaeumia kwa mali za wengine ni nani?Nyie madalali ni hopeless. Akili kisoda na wateja wenu ni dumbs.
Magari mengi haya tunanunua used pale Japan bei zake zilikuwa usd 70,000 mpaka 110,000 wakati yanatoka mara ya kwanza kule.$100000 mpaka $3500 gari gani hilo niweke malengo
Jukumu langu ni kutoa elimu kwa raia ili wasitapeliwe.Na wewe unaeumia kwa mali za wengine ni nani?
Anakuharibia ?Kuna nyuzi zinakuaga za hovyo majnun....
Ebu ngoja niende zangu church..
Sasa hilo ongezeko linamhusu nini yeye? Mtu alinunua gari ikiwa na km elfu 75, leo kuna km laki na sitini halafu bei ipande kwasababu gani? Hiyo 7m ni halali kabisa.Nakupa sababu kubwa, mwaka 2010 Toyota IST ilikuwa inauzwa around 12m. Fast forward 2023 hiyo IST inauzwa 17m, kuna ongezeko la 5m hapo. Sasa unataka huyo aliyenunua 12m 2020 aiuze 7m? No way!!