Gari ulinunua milioni 10.5 mwaka 2020 halafu leo unataka kuliuza milioni 13.5?

Gari ulinunua milioni 10.5 mwaka 2020 halafu leo unataka kuliuza milioni 13.5?

Kama kutoka mwaka 2020 hadi 2023 lililikuwa tu yard na halitumiki hata kidogo, nakuunga mkono
Hata kama ilikuwa inatumika, so long as kuna inflation ya bei za magari, huwezi kuuziwa kwa 7m tena, sana sana utauziwa ile ile 10m iliyonunuliwa.
 
Kwanini tena mkuu! Ama wewe ni dalali wa magari etii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana mkuu, kuna nam avile mimi hua nafikiri and pengine sio lazima tuelewe kwa ufanano shekh
 
ni jambo la kawaida linalowezekana kirahisi tu,watu wengi nilionao karibu na mimi binafsi tunanunua gari kwa hata 5M ,gari ya mwaka 2000 maybe, lakini inawekewa pesa ikiuzwa ni zaidi ya 10M
 
ni jambo la kawaida linalowezekana kirahisi tu,watu wengi nilionao karibu na mimi binafsi tunanunua gari kwa hata 5M ,gari ya mwaka 2000 maybe, lakini inawekewa pesa ikiuzwa ni zaidi ya 10M
Hizo mnawapata watu wasiojielewa.
 
Huna uhalali wa kumshauri mtu na mali zake. Uza la kwako kama unalo. Kama hela imepungua omba kwa heshima upunguziwe
Mimi nimeuza moja nilinunua 13m nikauza 9m baada ya kulitumia miaka mitatu.
 
Hivi Watanzania mna matatizo gani? Mnafahamu maana ya depreciation? Gari gani inaongezeka thamani baada ya kutumika?

Hivi mnajua hayo magari mnanunua kutoka Japan kwa Usd 3,500 yalipotoka yaliuzwa Usd 100,000 miaka 10 iliyopita?

Nashangaa kuona gari ina namba DSQ ambayo ilitoka January na February 2020 leo mtu anaiuza kwa bei kubwa kuliko aliyonunulia.
Kama ni IST kuna watu walinunua bei chee now wanapiga profit, ila ishu kulinunua tena kutoka Japan ndio kipengele.
 
Demand and Supply kaka, mfano ukizingumzia magari kama toyota crown na nyinginezo gharama yake sokoni imepanda zaidi ilikuwa ni around 10m ila kwa sasa hupati kwa hiyo 10m aliyonunua miaka mitatu iliyopita
Unajua demand na supply afu hujui depreciation? huo uchumi wa wapi?

nenda show room ya Benz ya magari mapya angalia bei and nenda show room ya benz ya gari zilizo endeshwa uone tofaut ya bei hamna demand na supply ni uhuni uo

gari ukisha nunua show room likiwa showroom jipya kabsa ukitoka nalo tu lisha shuka thaman.
 
Hapa hatuzungumzii gari zeto kilomita kaka, tunatungumzia used zile za kutokea japan na dubai

Mtoa maada anazungumzia gari used sio hizo mpya, demand and supply kwenye biashara ya magari haifanyi kazi kwenye mapya huendana na depreciation.

Ukiona hapo juu nimetolea mfano wa gari kama crown fuatilia uone
 
well said
 
Hivi Watanzania mna matatizo gani? Mnafahamu maana ya depreciation? Gari gani inaongezeka thamani baada ya kutumika?

Hivi mnajua hayo magari mnanunua kutoka Japan kwa Usd 3,500 yalipotoka yaliuzwa Usd 100,000 miaka 10 iliyopita?

Nashangaa kuona gari ina namba DSQ ambayo ilitoka January na February 2020 leo mtu anaiuza kwa bei kubwa kuliko aliyonunulia.
Tamaaa
 
Tatizo structure ya kodi inakinzana na depreciation pronciples . na huu ukosefu wa dola ndo unazidi kuchochea moto kwenye gharama za uagizaji wa hayo magari.
Ukiuza gari uliloninua miaka mitano nyuma kwa bei uliyonunulia miaka hiyo jiandae kuongeza mara mbili ya pesa ili kupata aina hiyo hiyo ya gari kwa bei ya leo .
For the first time magari yana appreciate value. Badala ya kupoteza thamani.
 
Wabongo wengi watakuuzia gari bei chee kama inasumbua au anatafuta kuongeza pesa anunue nyingine, vinginevyo ataiuza kutokana na anavyoithaminisha mwenyewe. Kama unaona hizi gari za mkononi bei ipo juu, ni bora kuagiza Japan kupitia kwa makampuni kama Be Foward....​
 
Mwaka 2021 nliagiza IST ya mwaka 2006 kwa 11m....mwaka huu mwezi wa 3 nikauza 13.5m.... Kwann haiku depreciate kwa sababu sasa hiv ist zimepanda sana ist ya mwaka 2006 unaipata kwa 17m-20m
Sio Ist tu gari karibu zote zimepanda bei . covid ilisbabisha shipping costs ziwe juu mafuta yamepanda , dola inasumbua na kodi pia zimepanda . mambo haya manne yanasababisha magari ya appreciate value instead of depreciating.
Leo hii bila mil 10 hujaagiza Ist kodi na mazagazaga ya bandarini haipungui 9 mil .
Sasa mdau anataka auziwe Ist kwa bei ya mwaka 2020 ! Haiwezekani
 
Kwani mkuu makasiriko yote haya ya nini, kwann unajiumiza hivi? Mbona simple tu we nunua la kwako kwa $3500 kisha liuze kwa $600

Achana na hayo ya watu
Mkristo wa hovyo kabisa wewe. Ndo maana huko upande wa wapalestina.
 
Sasa alienunua Brevis miaka nitatu iliyopita na Alienunua Premio zote leo zinamuonekano mzurii nani Atauza kwa bei ya hasara????

Sio suala la tamaa ila Soko ndo linaamua bei na thamani ya kituu unaweza nunua bei ndogo soko likikubali japo ushatumia ukauza bei kubwa.. Soko likigoma hata nusu bei huwezi uza.
Halafu unaendelea kula tunda kimasikhara bila wasiwasi.
 
Back
Top Bottom