Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
- Thread starter
- #61
Utachomwa moto mbinguni.Kama kawaaa[emoji28][emoji28][emoji28]Gari la mzunguu ukishalitumia ndo utafute boyaawa kumpigaaaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utachomwa moto mbinguni.Kama kawaaa[emoji28][emoji28][emoji28]Gari la mzunguu ukishalitumia ndo utafute boyaawa kumpigaaaa.
Watu hawafahamu, hawajiulizi kwanini 75% ya magari binafsi hununuliwa used?Magari mengi haya tunanunua used pale Japan bei zake zilikuwa usd 70,000 mpaka 110,000 wakati yanatoka mara ya kwanza kule.
Yanapo depreciate ndio wanayauza kwa hizo bei chee huku Africa.
Nnje ya mada, Madalali huwa wana maendeleo kabisa kwa kazi zao au nao hawatofautiani na Wavuvi, wauza mikaa?Inashangaza hii nchi ina maajabu,Alafu mwenye gari akipeleka gari Kwa Dalali,Dalali anaanza kulishusha bei Kwa kisingizio cha gari la zamani,akiweza kukushawishi na mkakubaliana yeye analipandisha bei yani Ni vituko
Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
Hapana niko upande wako sema tu umenipa mgongo ndio maana hunioni. Ila unanihisi najua ndio maana kutwa kunikumbukaMkristo wa hovyo kabisa wewe. Ndo maana huko upande wa wapalestina.
Bongo matapeli wengi sana, Rafiki yangu alikuwa na Toyota Corolla tripu 1 mtaani tripu 1 gereji au kapaki home hadi apate hela alipeleke kwa Fundi, hatimaye aliamua kulifanyia renovation alimpata mnyonge kwa 9 M.Nakupa sababu kubwa, mwaka 2020 Toyota IST ilikuwa inauzwa around 12m. Fast forward 2023 hiyo IST inauzwa 17m, kuna ongezeko la 5m hapo. Sasa unataka huyo aliyenunua 12m 2020 aiuze 7m? No way!!
Bro, hiyo meza unayotingisha ina vinywaji vya bei ghaliMambugila ni wengi.
Tanzania hakuna consumer literacy tunajinunuliaga tuu vikitupendeza.
Ukitaka kuuua kabisa biashara ya shobo(udalali) weka jukwaa la elimu kwa watumiaji, kwisha habari yao. Maana tunaamini kwenye kupiganisha.
Ndio kazi za mawinga pale Kariakoo, Wapiga debe pale Mbezi, Madalali wa nyumba nk.. wanajipa umuhimu wasiokuwa nao. Na wanataka kujenge industry kwenye uongo uongo.
Kwa kifupi nataka kusema hivi usishangae atauza tuu ...maana kama nilivyoanza mambugila bado tuko wengi.
Acha vimwagike ndg yangu... Kama nimewakera watanipiga yataisha[emoji23]Bro, hiyo meza unayotingisha ina vinywaji vya bei ghali
ni uzwazwa sana kuleta thread kama hiii!Hivi Watanzania mna matatizo gani? Mnafahamu maana ya depreciation? Gari gani inaongezeka thamani baada ya kutumika?
Hivi mnajua hayo magari mnanunua kutoka Japan kwa Usd 3,500 yalipotoka yaliuzwa Usd 100,000 miaka 10 iliyopita?
Nashangaa kuona gari ina namba DSQ ambayo ilitoka January na February 2020 leo mtu anaiuza kwa bei kubwa kuliko aliyonunulia.
Hapa ndipo lilipo tatizo. Watanzania hawawezi miliki magari mapya na chakavu hawawezi.Kodi zipo juu sana ndio maana tumebaki kuumizana humu humu na magari mabovu. Ki ukweli Mwigulu Waziri wa fedha ameshafeli.
Ukiagiza ist ya mwaka 2010 kodi mil.9.3 gharama za gari,ukaguzi na usafirishaji milion9.1 Hapo Bado handling charge,agency fee,storage,n.k