Hata kama ilikuwa inatumika, so long as kuna inflation ya bei za magari, huwezi kuuziwa kwa 7m tena, sana sana utauziwa ile ile 10m iliyonunuliwa.Kama kutoka mwaka 2020 hadi 2023 lililikuwa tu yard na halitumiki hata kidogo, nakuunga mkono
Mpigamiti karibu na ibologeloAnakuharibia ?
Hapana mkuu, kuna nam avile mimi hua nafikiri and pengine sio lazima tuelewe kwa ufanano shekhKwanini tena mkuu! Ama wewe ni dalali wa magari etii?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa shekh.Hapana mkuu, kuna nam avile mimi hua nafikiri and pengine sio lazima tuelewe kwa ufanano shekh
Hizo mnawapata watu wasiojielewa.ni jambo la kawaida linalowezekana kirahisi tu,watu wengi nilionao karibu na mimi binafsi tunanunua gari kwa hata 5M ,gari ya mwaka 2000 maybe, lakini inawekewa pesa ikiuzwa ni zaidi ya 10M
Mimi nimeuza moja nilinunua 13m nikauza 9m baada ya kulitumia miaka mitatu.Huna uhalali wa kumshauri mtu na mali zake. Uza la kwako kama unalo. Kama hela imepungua omba kwa heshima upunguziwe
Kama ni IST kuna watu walinunua bei chee now wanapiga profit, ila ishu kulinunua tena kutoka Japan ndio kipengele.Hivi Watanzania mna matatizo gani? Mnafahamu maana ya depreciation? Gari gani inaongezeka thamani baada ya kutumika?
Hivi mnajua hayo magari mnanunua kutoka Japan kwa Usd 3,500 yalipotoka yaliuzwa Usd 100,000 miaka 10 iliyopita?
Nashangaa kuona gari ina namba DSQ ambayo ilitoka January na February 2020 leo mtu anaiuza kwa bei kubwa kuliko aliyonunulia.
Unajua demand na supply afu hujui depreciation? huo uchumi wa wapi?Demand and Supply kaka, mfano ukizingumzia magari kama toyota crown na nyinginezo gharama yake sokoni imepanda zaidi ilikuwa ni around 10m ila kwa sasa hupati kwa hiyo 10m aliyonunua miaka mitatu iliyopita
Sina la kusema juu ya mawazo yakoHizo mnawapata watu wasiojielewa.
Hapa hatuzungumzii gari zeto kilomita kaka, tunatungumzia used zile za kutokea japan na dubaiUnajua demand na supply afu hujui depreciation? huo uchumi wa wapi?
nenda show room ya Benz ya magari mapya angalia bei and nenda show room ya benz ya gari zilizo endeshwa uone tofaut ya bei hamna demand na supply ni uhuni uo
gari ukisha nunua show room likiwa showroom jipya kabsa ukitoka nalo tu lisha shuka thaman.
well saidHapa hatuzungumzii gari zeto kilomita kaka, tunatungumzia used zile za kutokea japan na dubai
Mtoa maada anazungumzia gari used sio hizo mpya, demand and supply kwenye biashara ya magari haifanyi kazi kwenye mapya huendana na depreciation.
Ukiona hapo juu nimetolea mfano wa gari kama crown fuatilia uone
TamaaaHivi Watanzania mna matatizo gani? Mnafahamu maana ya depreciation? Gari gani inaongezeka thamani baada ya kutumika?
Hivi mnajua hayo magari mnanunua kutoka Japan kwa Usd 3,500 yalipotoka yaliuzwa Usd 100,000 miaka 10 iliyopita?
Nashangaa kuona gari ina namba DSQ ambayo ilitoka January na February 2020 leo mtu anaiuza kwa bei kubwa kuliko aliyonunulia.
Sio Ist tu gari karibu zote zimepanda bei . covid ilisbabisha shipping costs ziwe juu mafuta yamepanda , dola inasumbua na kodi pia zimepanda . mambo haya manne yanasababisha magari ya appreciate value instead of depreciating.Mwaka 2021 nliagiza IST ya mwaka 2006 kwa 11m....mwaka huu mwezi wa 3 nikauza 13.5m.... Kwann haiku depreciate kwa sababu sasa hiv ist zimepanda sana ist ya mwaka 2006 unaipata kwa 17m-20m
Mkristo wa hovyo kabisa wewe. Ndo maana huko upande wa wapalestina.Kwani mkuu makasiriko yote haya ya nini, kwann unajiumiza hivi? Mbona simple tu we nunua la kwako kwa $3500 kisha liuze kwa $600
Achana na hayo ya watu
Halafu unaendelea kula tunda kimasikhara bila wasiwasi.Sasa alienunua Brevis miaka nitatu iliyopita na Alienunua Premio zote leo zinamuonekano mzurii nani Atauza kwa bei ya hasara????
Sio suala la tamaa ila Soko ndo linaamua bei na thamani ya kituu unaweza nunua bei ndogo soko likikubali japo ushatumia ukauza bei kubwa.. Soko likigoma hata nusu bei huwezi uza.
Kama kawaaa[emoji28][emoji28][emoji28]Gari la mzunguu ukishalitumia ndo utafute boyaawa kumpigaaaa.Halafu unaendelea kula tunda kimasikhara bila wasiwasi.