Gari wanazohitaji waTanzania hazipatikani dunia nzima

Bado hujamuelewa vile vile
Nimemuelewa vizuri sana. Watu wanataka gari nzuri kwa bei chini. ( kwa lugha nyepesi mtu anataka High end ) kwa gharama za low end. Kwasababu ya hali ya pesa ilivyo wengi wanajificha au kujifariji kwa gari za zamani huko 2004 kupooza machungu kwa kupata gari anayo hisi ina vitu inavyo hitaji
 
Hio kitu naikubali kishenzi,nilikua nawaambia watu humu JF hio gari ndio competitor wa Series 7,S-class,Audi A8.

Na bei yake sio ya mchezo,mimi ningeichagua hio LS kuliko hizo gari nyingine hapo juu.
Ona myana kama huyu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.. alafu unakuja mzarau mjep.. kitu kinatoa horse power zaidi ya 400+

 
Unamuiga 'Kiduku' lakini bado una kiwango cha chini.
 
Hio kitu naikubali kishenzi,nilikua nawaambia watu humu JF hio gari ndio competitor wa Series 7,S-class,Audi A8.

Na bei yake sio ya mchezo,mimi ningeichagua hio LS kuliko hizo gari nyingine hapo juu.
Na hii hapa Series 7 ya 2017 na nimeweka Lexus Ls ya 2017.. ufanye ulinganisho.. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

 
Badilikeni ndugu zangu, acheni maisha ya kukariri, kwa East Africa naona sisi ndio tunamiliki gari za kishamba kuliko
Inaweza kuwa kweli
tutabaki kuwapigia makofi na kuwasifia wanaume wenzetu wanaomiliki range rover na discovery,bmw x6,v8, benz
Hizi gari hapo kenya ni nyingi sana barabarani unakutana nazo mpaka unaweza jiuliza hivi bongo n hela hamna au vipi, na kenya haya magari pendwa ya huku, kule unaweza kutana nayo moja moja sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…