Gari ya Jaji yasababisha ajali baada ya kutanua, vijana wa ujenzi Mwenge-Morocco wagongwa

Kuna gari moja ya serikali ilisababishaga ajali nasikia magomeni, then ikasepa kupitia barabara ya mwendokasi.
Bodaboda wakalala naye mbele, anafika mwanamboka mataa yakawa yameruhusu magari ya kutoka posta. Akawa anataka kupanda ule ukingo ahamie barabara ya kawaida gari ikashindwa, na mara bodaboda hawa hapa.
We! Sijawahi kuona mtu aliyevaa suti akitimua mbio kwa mguu kama yule dereva wa serikali! Unaambiwa alitimua mbio hadi oysterbay.
 
Ha ha ha !
 
Aliyekuwa anaendesha gari ni jaji au dereva wake? Can you charge the judge for an accident caused by his driver?
Na mimi nashangaa jamaa kakomaa na Jaji.
 

Na mimi nashangaa jamaa kakomaa na Jaji.
Umejibiwa mkuu!
Dereva wako anaendesha bila kufuata sheria wewe unakenua tu, Kwa nini usiunganishwe kwenye uhalifu huu!
 
Ndio madhara ya kutumbua wale wazoefu na kuajiri ma lena kwa kigezo cha elimu ya form 4 wakati wako ma std 7 hata wanaomaloza n.i.t wawaoni ndani.
Wee jiulize kwa nini tangu serikali iajiri upya kwa kigezo cha elimu ajali ndio zineongezeka tofaugi na zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…