Gari ya kifahari GX V8 husafirisha kiti cha Rais

Gari ya kifahari GX V8 husafirisha kiti cha Rais

Tunaviongozi wapumbavu sana hii nchi.yaani kiti tu nacho kinakamua tozo za walala hoi kupitia v8! Kwanini wasikibebe tu kwenye buti la v8 la rais au aandaliwe kiti hukohuko anakoenda.v8 kwa mwaka tu linatumia gharama ya mafuta yanayofikia zaidi ya milioni 50 je miaka kumi hicjo kiti kinakula tozo za walala hoi shi ngap?
 
Back
Top Bottom