Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
HujakoseaMbona nahisi huu uzi ni wa kipumbavu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HujakoseaMbona nahisi huu uzi ni wa kipumbavu?
Viongozi wengi wa Kiafrika hawajiamini/hawawaamini Waafrika wenzao.Kule Wingereza kwenye basi kiti cha Rais wetu kilisafirishwa na nini hadi wingereza akatumie kwenye ile Ngorika ya wingereza?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
She is a Head of State jamani kama hamtaki hizo gharama tafakarini nn kitatokea. Amepotea Magu mnataka tupoteze viongozi kwa makosa ya usalama?
Ni Uzi wa KIPUMBAVU na unashabikiwa na WAPUMBAVU.Gari ya kifahari aina ya GX V8 ndiyo husafirisha kiti cha Rais wa nchi popote aendapo.
Kama umeshindwa kujua kinachojadiliwa hapa si kiti ila gharama za kukitunza na kukisafirisha (kodi zetu) basi naungana na wewe, tatizo la afya ya akili ni kubwa hasa kwako.Kama kit Cha rais kinafunguliwa Uzi bas tatizo la afya ya akili Bado ni kubwa nchini
Kiti hakijaanzwa kusafirishwa leo ...toka enzi za mwinyi kiti huwa kinasafirishwa.....huyu muanzisha uzi ni miongoni mwa watu wanaouchukia utawala wa mama samia jaribu kuangalia thread zake za nyuma, ni miongoni mwa watu waliokuwa wananufaika na utawala wa magufuriUpumbavu wake upo wapi?
Kati ya anae safirisha kiti kwa bajet ya tozo na msanuaji nani mpumbavu.!?
Kuna Siku mtahoji hata hadi Taiti anayovaa. Miswahili bhana tunaacha Kujadili Vitu vya Msingi tunajadili Pumba tu halafu tunataka tushindane na Rwanda ( Wanyarwanda ) ambao huku wameshatoka na kutuacha muda mrefu mno.Gari ya kifahari aina ya GX V8 ndiyo husafirisha kiti cha Rais wa nchi popote aendapo.
Huwa hakuna jambo la kuouuzia ndugu.Ni namna tu weye utakavyolichukulia.Mwanzo wa ngoma ni lele!Wacha moto uwake!Mods ondoeni "nyuzi" za namna hii!
Waache watu wawaze kulingana na mawazo yao.Ukitaka waiwaze hiyo soace x utabaki peke yako unashangaashangaa.Yan watanzania.vitu petty petty ndio discussing. Badala ya kuwaza tunarusha vip na sisi space x karne hii mambo ya viti?
Basi na wewe ni mpumbavu kama umepoteza mb zako kuuchangiaMbona nahisi huu uzi ni wa kipumbavu?
Kwani uongo?Mods ondoeni "nyuzi" za namna hii!
Usiichukulie Poa!! Inasoma 180 km/h lakini ipo 240 km/h!!!Passo inaweza endana na mwendo wa convoy ya Rais?
LoriKiwe kinasafirishwa na usafiri upi?
Kuanzia Nyerere hadi mZiLaNkeNdE hawajawahi ingia na kiti kanisani.Ni Ujinga pia huko mikoani hakuna viti? Nyerere, Mkapa hakuwahi kuingia na Presidential Chair Makanisani