Gari ya kifahari GX V8 husafirisha kiti cha Rais

Gari ya kifahari GX V8 husafirisha kiti cha Rais

Gari ya kifahari aina ya GX V8 ndiyo husafirisha kiti cha Rais wa nchi popote aendapo.
She is a Head of State jamani kama hamtaki hizo gharama tafakarini nn kitatokea. Amepotea Magu mnataka tupoteze viongozi kwa makosa ya usalama?
 
400,000,000÷30= 13,333,333.33 Yaani milion mia nne gawanya mikoa 30 ya Tanzania sawasawa na milion 13+.

Kama kila mkoa utapewa milion 13 basi kutakuwa na kiti chake na hakutakuwa na kumlipa dreva na mafuta ya gari kwa miaka yote.

Aisee tunaliwaaaaa!
Inaelekea hujui chochote kuhusu usalama
 
Je ndani ya gari ambayo hicho kiti kinawekwa hakuna maafisa ambao ni waambata wa msafara wa Rais wanaotumia gari hiyo ?
 
Ni itifaki tu iyoo, ila hata ktk.viti vya cello huwa anaketi tu
 
400,000,000÷30= 13,333,333.33 Yaani milion mia nne gawanya mikoa 30 ya Tanzania sawasawa na milion 13+.

Kama kila mkoa utapewa milion 13 basi kutakuwa na kiti chake na hakutakuwa na kumlipa dreva na mafuta ya gari kwa miaka yote.

Aisee tunaliwaaaaa!
Gharama sio kiti bali kinachoaminiwa kipo kwenye kiti.

Kuna mtaalamu mmoja huko Wete, Pemba kala mamilioni yake kadhaa kwa kuaminisha kuwa kaweka kijini kwenye kiti. Mwenye kukikalia basi anakuwa na nguvu ya ajabu.

Sasa itakuwa tabu kidogo kutengeneza majini ya kila mkoa.
 
Me, i don't care as long hauwi watu kama yule wa awamu ya tano.

Hata akitaka aibebe Ikulu mgongoni azunguke nayo.

manny (1).png
 
Humu kuna vijana wapumbavu sana. Mbona kule Zanzibar rais alipokaa chini kabisa na kina mama wenzake hamkuongea? Kwa hizi imani zetu za kiafrika kitu kinahusika sana na sio jambo la kufanyia mzaha.
 
Back
Top Bottom