Gari ya kifahari GX V8 husafirisha kiti cha Rais

Tuambie na posho ya anaye kihudumia
Wapo watatu;

Afisa mwangalizi namba 1,

Afisa mwangalizi namba 2,na

Dereva.

Wote hao si chini ya milioni 1 na nusu malipo yao ya kujikimu kwa siku.
 
Wakati Mwalimu alikaa hadi foleni na Marais wengine wanakalia viti vya kanisani kwa adabu, kuna Paka special linasafirisha na kukalia kiti maalum👇🐒🐒🐒
 
Humu kuna vijana wapumbavu sana. Mbona kule Zanzibar rais alipokaa chini kabisa na kina mama wenzake hamkuongea? Kwa hizi imani zetu za kiafrika kitu kinahusika sana na sio jambo la kufanyia mzaha.
Mbona wewe ndiye kubwa la majuha
 
Huu uzi upuuzwe ni uzi wa kipumbavu.....nimeanza kuamini kile nilichokuwa nikikihisi kuhusu huyu mtu alieanzisha hii thread ya kipumbavu..
 
Nimecheka sana.
 
Wapunguze msongamano wa magari kwenye msafara wa Rais na sio hoja ya kiti sijui nini ..zile vieti zinaweza zikatibu magonjws Sugu baadhi ya wilaya au kujenga Shule za kisasa...
 
Gari ya kifahari aina ya GX V8 ndiyo husafirisha kiti cha Rais wa nchi popote aendapo.
Tena ni muhimu sana kiti chake licha ya kusafirishwa na gari maalumu lazima kilindwe. Unadhani Rais anapendwa na kila mtu? Nashangaa sasa ulitaka akifika sehemu akaribishwe tendegu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…