Gari ya kitenge kuhusishwa na mambo ya bandari ni ujuha! Inaonyesha mmeanza kukosa hoja!

Miaka yote hii bandari ilitunufaisha Nini zaidi ya ufisadi tu
 
Miaka yote hii bandari ilitunufaisha Nini zaidi ya ufisadi tu
Kama ufisadi upo kwa wenye nchi tatizo lako nini?Ona chama chako kilivyo na matatizo mengi,kimeshindwa kusimamia rasilimali zake vizuri sasa kimeamua mazima kuuza nchi kwa kisingizio cha uwekezaji.Mmekataa Demokrasia halali,uchaguzi halali,Bunge halali,Serikali halali na Watanzania halali unafikiri tunasonga au tunarudi enzi zile za mkoloni?Mjitafakari kwa Ahadi Kumi za Mwana TANU ili tufike sehemu sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…