Gari ya kitenge kuhusishwa na mambo ya bandari ni ujuha! Inaonyesha mmeanza kukosa hoja!

Gari ya kitenge kuhusishwa na mambo ya bandari ni ujuha! Inaonyesha mmeanza kukosa hoja!

Mafisadi mmejitokeza kwa fujo kumbe Marehemu Magufuri alikuwa sahihi pale aliposema,"MTANIKUMBUKA"alikuwa anajua nini kinafuata baadaye.

Hongereni wakati n wenu lakini akili yenu ni ndogo kuipa nchi nyingine ajira ya Bandari chanzo kikuu cha uchumi na usalama wa nchi.
Miaka yote hii bandari ilitunufaisha Nini zaidi ya ufisadi tu
 
Miaka yote hii bandari ilitunufaisha Nini zaidi ya ufisadi tu
Kama ufisadi upo kwa wenye nchi tatizo lako nini?Ona chama chako kilivyo na matatizo mengi,kimeshindwa kusimamia rasilimali zake vizuri sasa kimeamua mazima kuuza nchi kwa kisingizio cha uwekezaji.Mmekataa Demokrasia halali,uchaguzi halali,Bunge halali,Serikali halali na Watanzania halali unafikiri tunasonga au tunarudi enzi zile za mkoloni?Mjitafakari kwa Ahadi Kumi za Mwana TANU ili tufike sehemu sahihi.
 
Back
Top Bottom