Gari ya Lissu iliyopigwa risasi, isibadilishwe muonekano, ikae ilivyo, ipelekwe katika kila mikutano ya siasa kukumbusha madhila ya Hayati Magufuli

hela tu ya kwenda kwenye mikutano ni shida sembuse ya kitengeneza gari au kuzunguka na gari bovu πŸ’

hii siasa ya Tanzania ni ya kufurahishana sana kwakweli πŸ’
 

JPM anahusika vipi na LISSU kupigwa RISASI?
 
Bila corona kutusaidia kulitowesha duniani lile jinamizi la chato nchi ilikuwa inaelekea kuzimu kabisa
 
Siyo madhira awamu ya 5 tu ni madhira ya uongozi wa CCM kwa karne hii
 
Wazo safi sana mkuu, labda watalifanyia kazi.
 
Stupidly opinion
 
Ili wananchi wamnyime kula magufuri na wampe Samia?kweli akili Chadema hakuna.Sijui kwanini wamekuwa kasuku wa CCM?wanalipwa nini hivyo hadi kuacha kujadili njia za kuwafanya wawape kula
 
Kwani awamu ya tano SSH alikua nani,
 
CCM CHAMA CHA MACHINJACHINJA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…