4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Ilikuwaje mhutu akawa Raisi wa wabongo? Nao kama unajidharirisha mwenyewe na kuidharirisha serikali iliyopo madarakani maana ni wale wale tu waliofanya kazi na huyo unayemuita 'mhutu' muuaji.Huyo mtu wenu alikuwa muuaji kwa asili ya kabila lao la wahutu.
Nenda ukamshukuru shetani aliyekunyima akili na kukupa ujinga wa kumlaumu mfu huku ukiwaacha bila lawama watu walio hai na wachocheao ujinga wako kustawi.Tunashuru tu kuwa corona ilitusaidia watanzania kuliondoa lile jinamizi.
WamaasaiSasa mbona unaikimbia hoja? Umeulizwa kwamba viongozi wa Sasa wamemuua nani?
Una hasira sana. Tuliza kichwa, andika taratibu, naona unataka taja tu kila kinachokuja kichwani kwako.unaitaj maombi asee , mambo yote haya yaliyotokea ndan ya miaka 3 bado unataka kufungulia macho ? wasanii kukimbia nchi , wakosoaji kuvuliwa nyadhifa zao , wengine kupewa kesi za uhaini ( kifungo cha maisha au kunyongwa kabisa ) , wamasai kuuliwa kisa wanapigania ardhi zao , kufunguliwa maji ya bwawa la umeme yalioua makumi ya watu ili tu kuonesha JP alijenga bwawa nje ya ubora , Kupora machinga biashara zao ilihali watu wanaiba 42B bado wanaombwa kujiuzuru na hawafanyi hivyo , mfumuko wa bei za vitu , mlipuko wa panya road walioua makumi ya watu , uporaji wa maeneo ya watu na ugawaji wa maliasilI za nchi kwa mikataba mibovu , rushwa imelithiri hasa vituo vya polisi na vituo vya afya , upigaji wa kodi zetu yaan kidaraja cha 20M wanatumia 200M yaan chumba cha mlinzi cha 5M wanatumia 11M yaan kidimbwi cha kuchimba kwa 600K wanasema wamejenga kwa 600M halaf hakijasakafiwa
Kiufupi ndan ya miaka hii 3 tumeona uborongaji mwingi sana yakiwemo mauaji pia ya direct na indirect
Kwani ni mimi nilimtuma awe muuaji. Ndiyo hivyo limekufq na linateseka huko kama unampenda sana kunywa sumu umfuateIlikuwaje mhutu akawa Raisi wa wabongo? Nao kama unajidharirisha mwenyewe na kuidharirisha serikali iliyopo madarakani maana ni wale wale tu waliofanya kazi na huyo unayemuita 'mhutu' muuaji.
Nenda ukamshukuru shetani aliyekunyima akili na kukupa ujinga wa kumlaumu mfu huku ukiwaacha bila lawama watu walio hai na wachocheao ujinga wako kustawi.
📌🔨Wanaombebesha madhambi JPM ni wale waliokuwa wakwepa kodi enzi za utawala wa JPM, walipigwa kote kote kwa sababu JPM hakucheka na wezi ama wakwepa kodi.
Baada ya kufa kwa JPM mama akawarudishia ulaji wao hao wakwepa kodi, na ndio wanakula mema yote ya nchi hii na kodi hawalipi.
Na ndio hao hao wanaoimba mapambio eti JPM alikuwa muuaji.
Wasilolijua hao wahuni ni hili za siku zao kuhesabiwa.
Hii ya wamasai inatiwa chumvi na sukuma gang. Kilichokiukwa kule ni kuwaondoa kwa nguvu . Yaani nguvu kubwa ilitumika kuwaondoa. Na katika kufanya hivo ndiyo baadhi yao walijeruhiwa.Wamaasai
Kila kijiji wataiona waone kazi ya SHETANI ilivyo zuiliwa na MunguKuogopa kitu gani hebu fafanua sio unatetemeka kama una kifafa!k
UwongoHii ya wamasai inatiwa chumvi na sukuma gang. Kilichokiukwa kule ni kuwaondoa kwa nguvu . Yaani nguvu kubwa ilitumika kuwaondoa. Na katika kufanya hivo ndiyo baadhi yao walijeruhiwa.
Huwezi ukilinganisha na mauaji ya kupangwa (ya chuki) dhidi ya baadhi ya watu, yaliyofanywa na Magufuli .
Ni Nani ambaye alienda kutambua maiti? Walikuwa Watanzania? weka chanzo chochote hapa kinachosema ama kuonyesha ndugu jamaa ama marafiki walioenda kuchukua hiyo miili?Maelfu ya viroba vya maiti viliokotwa ufukweni,
Azory Gwanda🤦🏾♂️ mbona kesi yake ishaisha Mahakamani? na Wauaji washenda jela. Wacha upotoshajiwanasiasa waandishi wa habari akina Azory Gwanda
Mtu yeyote yule ambaye amekufa, hapa Jamiiforums, jina lake linawekewe R.I.P, mbina la Saanane halina hiyo. Uwongo Ben yupo na sitoshangaa yumo humu na ID nyingine. Ben hajafa na wala kuuwawawaliouawa, wakoasoaji akina Ben Sa8
Sentesi moja umesema wameuwawa halafu unasema hawajulikani walipo-Huo ni uwongo wa kutungampk leo hawajulikqni waliko,
Lissu ana PTSD ndio maana anahitaji therapy ya kuona gari lake. Hakuna cha mungu wala nini. Shambulio lile ni la CHADEMALisu ni muujiza wa Mungu tu ndiyo maana yuko hai hadi leo.
Kawadanganye wangine huko Ufipa.Huyu mama ni mtu wa Mungu, anawaheshimu viumbe wa Mungu. Hajawahi kumwaga damu ya mtu kwa chuki.
Hapana. Lissu ndie mwenye Phobia, Panic Disorder, posttraumatic stress disorder and generalized anxiety disorder. Haya yote yanahitaji therapy, na moja ya therapy ni Exposure therapy. Ndio maana mwaka jana alienda na mwaka huu tena ameenda tena kwenye gari.Lumumba wamepanik
Nasisitiza. Kama mnataka wananchi wawapige chini, mtajeni MagufuliWatanzania wengi ni matomaso, ukiwasimulia tu hivi hivi, hawaamini. Nashauri gari ya Tundu Lissu isibadilishwe muonekano wake baada ya kupigwa risasi, matundu ya risasi yabaki, gari itengenezwe injini tu na sehemu muhimu, ila sehemu zenye matundu ya risasi zibaki.
Hii itafanya watu wakifika katika mikutano ya hadhara, kwanza wapate somo kwa kuliangalia gari, kisha watajikumbusha madhira ya awamu ya tano. Gari hiyo itembezwe mitaa yote ambako mikutano inatarajiwa kufanyika, wananchi wayaone matundu ya risasi, halafu waamue wenyewe kuhusu awamu ya tano, na walinganishe na awamu ya Rais Samia ambayo Lissu anazurura huku na kule akimtukana kwa uzanzibari wake.
Pili, Lissu asipande gari hilo, kwa kuwa tayari lomeshaingia nuksi, ni sawa na jeneza.
Sure, lile zee lilikuwa katili sana, kuna vijana wa TISS walifukuzwe kazi na wengine kupigwa shaba kisa tu hawakuweza kufanikisha uovu ule Mungu ni Mwema wengine wamerudi kazini.
Nadhani hamjifunzi siri ya nguvu ya Makonda alipokuwa mwenezi!! Hakuthubutu kumponda Magufuli, hiyo ndo hali yenyewe. Pengine unatamani CHADEMA ipotee kwenye kipindi hiki kigumu; waambie wamponde MagufuliWatanzania wengi ni matomaso, ukiwasimulia tu hivi hivi, hawaamini. Nashauri gari ya Tundu Lissu isibadilishwe muonekano wake baada ya kupigwa risasi, matundu ya risasi yabaki, gari itengenezwe injini tu na sehemu muhimu, ila sehemu zenye matundu ya risasi zibaki.
Hii itafanya watu wakifika katika mikutano ya hadhara, kwanza wapate somo kwa kuliangalia gari, kisha watajikumbusha madhira ya awamu ya tano. Gari hiyo itembezwe mitaa yote ambako mikutano inatarajiwa kufanyika, wananchi wayaone matundu ya risasi, halafu waamue wenyewe kuhusu awamu ya tano, na walinganishe na awamu ya Rais Samia ambayo Lissu anazurura huku na kule akimtukana kwa uzanzibari wake.
Pili, Lissu asipande gari hilo, kwa kuwa tayari lomeshaingia nuksi, ni sawa na jeneza.
Alijaribu Kinana hivi majuzi akijibu hoja za Lissu. Na kila wakati alipoanza kuponda, makofi yalikuwa mawili matatu.Nasisitiza. Kama mnataka wananchi wawapige chini, mtajeni Magufuli
Halafu!Kila kijiji wataiona waone kazi ya SHETANI ilivyo zuiliwa na Mungu