Gari ya Lissu iliyopigwa risasi, isibadilishwe muonekano, ikae ilivyo, ipelekwe katika kila mikutano ya siasa kukumbusha madhila ya Hayati Magufuli

Gari ya Lissu iliyopigwa risasi, isibadilishwe muonekano, ikae ilivyo, ipelekwe katika kila mikutano ya siasa kukumbusha madhila ya Hayati Magufuli

Ccm na machawa wao huwa hawana roho mtakatifu au malaika wa kuwaongoza kabla ya kufanya jambo au kupost hoja zao , wapo tu mtu analeta hoja jf kaswali kadogo anakimbia andiko lake, kidogo Mayala anaweza leta hoja na kujaribu itetea hata kwa ulaghai ,wengine wapo tu kama popobawa
 
Huyo mtu wenu alikuwa muuaji kwa asili ya kabila lao la wahutu.
Ilikuwaje mhutu akawa Raisi wa wabongo? Nao kama unajidharirisha mwenyewe na kuidharirisha serikali iliyopo madarakani maana ni wale wale tu waliofanya kazi na huyo unayemuita 'mhutu' muuaji.
Tunashuru tu kuwa corona ilitusaidia watanzania kuliondoa lile jinamizi.
Nenda ukamshukuru shetani aliyekunyima akili na kukupa ujinga wa kumlaumu mfu huku ukiwaacha bila lawama watu walio hai na wachocheao ujinga wako kustawi.
 
unaitaj maombi asee , mambo yote haya yaliyotokea ndan ya miaka 3 bado unataka kufungulia macho ? wasanii kukimbia nchi , wakosoaji kuvuliwa nyadhifa zao , wengine kupewa kesi za uhaini ( kifungo cha maisha au kunyongwa kabisa ) , wamasai kuuliwa kisa wanapigania ardhi zao , kufunguliwa maji ya bwawa la umeme yalioua makumi ya watu ili tu kuonesha JP alijenga bwawa nje ya ubora , Kupora machinga biashara zao ilihali watu wanaiba 42B bado wanaombwa kujiuzuru na hawafanyi hivyo , mfumuko wa bei za vitu , mlipuko wa panya road walioua makumi ya watu , uporaji wa maeneo ya watu na ugawaji wa maliasilI za nchi kwa mikataba mibovu , rushwa imelithiri hasa vituo vya polisi na vituo vya afya , upigaji wa kodi zetu yaan kidaraja cha 20M wanatumia 200M yaan chumba cha mlinzi cha 5M wanatumia 11M yaan kidimbwi cha kuchimba kwa 600K wanasema wamejenga kwa 600M halaf hakijasakafiwa

Kiufupi ndan ya miaka hii 3 tumeona uborongaji mwingi sana yakiwemo mauaji pia ya direct na indirect
Una hasira sana. Tuliza kichwa, andika taratibu, naona unataka taja tu kila kinachokuja kichwani kwako.

Hayo uliyoyaandika hapa ndiyo utetezi wako kwamba awamu ya 6 inauwa watu?

Hebu rudi tena ukiwa mtulivu ututajie watu waliouawa awamu ya 6.
 
Ilikuwaje mhutu akawa Raisi wa wabongo? Nao kama unajidharirisha mwenyewe na kuidharirisha serikali iliyopo madarakani maana ni wale wale tu waliofanya kazi na huyo unayemuita 'mhutu' muuaji.

Nenda ukamshukuru shetani aliyekunyima akili na kukupa ujinga wa kumlaumu mfu huku ukiwaacha bila lawama watu walio hai na wachocheao ujinga wako kustawi.
Kwani ni mimi nilimtuma awe muuaji. Ndiyo hivyo limekufq na linateseka huko kama unampenda sana kunywa sumu umfuate
 
Wanaombebesha madhambi JPM ni wale waliokuwa wakwepa kodi enzi za utawala wa JPM, walipigwa kote kote kwa sababu JPM hakucheka na wezi ama wakwepa kodi.

Baada ya kufa kwa JPM mama akawarudishia ulaji wao hao wakwepa kodi, na ndio wanakula mema yote ya nchi hii na kodi hawalipi.

Na ndio hao hao wanaoimba mapambio eti JPM alikuwa muuaji.

Wasilolijua hao wahuni ni hili za siku zao kuhesabiwa.
📌🔨
 
Mkuu nakuhakikishia kwa namna Magufuli anavochukuliwa na raia wa kipato cha kati na chini hili halitasaidia. Japo sina uhakika kama jiwe ndo alihusika na kama kweli Lissu alikuwa anaifitini nchi kwenye mzozo na Barrick ukiweka poll ya wangapi wana support hatua zilizochukuliwa dhidi ya mfitini nchi, huenda matokeo yakakushangaza.
 
Hii ya wamasai inatiwa chumvi na sukuma gang. Kilichokiukwa kule ni kuwaondoa kwa nguvu . Yaani nguvu kubwa ilitumika kuwaondoa. Na katika kufanya hivo ndiyo baadhi yao walijeruhiwa.

Huwezi ukilinganisha na mauaji ya kupangwa (ya chuki) dhidi ya baadhi ya watu, yaliyofanywa na Magufuli . Maelfu ya viroba vya maiti viliokotwa ufukweni, wanasiasa waandishi wa habari akina Azory Gwanda waliouawa, wakoasoaji akina Ben Sa8 mpk leo hawajulikqni waliko, Lisu ni muujiza wa Mungu tu ndiyo maana yuko hai hadi leo.

Huyu mama ni mtu wa Mungu, anawaheshimu viumbe wa Mungu. Hajawahi kumwaga damu ya mtu kwa chuki.
 
Pigeni mayowe yote.

Haitowezekana na haitatokea kwa Lissu ama Mbowe kuwa Maraisi wa Nchi hii.

Kwa wale wasioelewa, Lissu bado anaweweseka, halali usiku akitokwa majasho tu, kwa sababu ya trauma aliyopata. Haya yote yanawatokea wahanga kama Lissu.

Haya ya Lissu kutaka gari lake sio matakwa yake, no, ni takwa la therapy-Mental health Professional ili aweze kupona na makasiriko, kuweweseka, kutokulala na majasho kibao usiku-ndio maana anakunywa maji saa zote-donge la kinyongo na makasiriko hatoweza mikiki mikiki ya Uraisi.

Ni hivi kurudi kwake ni kumpunguzia matatizo aliyokuwa nayo, kamavile PTSD-ama obsessive-compulsive disorder.... ambayo ni kawaida kwa mtu aliyepitia kupigwa risasi kama ilivyotokea kwa Lissu.

Sasa hawa CHADEMA wanachokifanya ni kuirubuni na kuhadaa Jamii kwamba Lissu ana uwezo wa kuwa Rais? Sio kwa PTSD na wala sio kwa mda mfupi ambao anakuwa akipata matibabu.

chiembe waambie ukweli Jamii. Wacheni kufukuzana na kaburi.
 
Hii ya wamasai inatiwa chumvi na sukuma gang. Kilichokiukwa kule ni kuwaondoa kwa nguvu . Yaani nguvu kubwa ilitumika kuwaondoa. Na katika kufanya hivo ndiyo baadhi yao walijeruhiwa.

Huwezi ukilinganisha na mauaji ya kupangwa (ya chuki) dhidi ya baadhi ya watu, yaliyofanywa na Magufuli .
Uwongo
Maelfu ya viroba vya maiti viliokotwa ufukweni,
Ni Nani ambaye alienda kutambua maiti? Walikuwa Watanzania? weka chanzo chochote hapa kinachosema ama kuonyesha ndugu jamaa ama marafiki walioenda kuchukua hiyo miili?

wanasiasa waandishi wa habari akina Azory Gwanda
Azory Gwanda🤦🏾‍♂️ mbona kesi yake ishaisha Mahakamani? na Wauaji washenda jela. Wacha upotoshaji
waliouawa, wakoasoaji akina Ben Sa8
Mtu yeyote yule ambaye amekufa, hapa Jamiiforums, jina lake linawekewe R.I.P, mbina la Saanane halina hiyo. Uwongo Ben yupo na sitoshangaa yumo humu na ID nyingine. Ben hajafa na wala kuuwawa
mpk leo hawajulikqni waliko,
Sentesi moja umesema wameuwawa halafu unasema hawajulikani walipo-Huo ni uwongo wa kutunga
Lisu ni muujiza wa Mungu tu ndiyo maana yuko hai hadi leo.
Lissu ana PTSD ndio maana anahitaji therapy ya kuona gari lake. Hakuna cha mungu wala nini. Shambulio lile ni la CHADEMA
Huyu mama ni mtu wa Mungu, anawaheshimu viumbe wa Mungu. Hajawahi kumwaga damu ya mtu kwa chuki.
Kawadanganye wangine huko Ufipa.
 
Lumumba wamepanik
Hapana. Lissu ndie mwenye Phobia, Panic Disorder, posttraumatic stress disorder and generalized anxiety disorder. Haya yote yanahitaji therapy, na moja ya therapy ni Exposure therapy. Ndio maana mwaka jana alienda na mwaka huu tena ameenda tena kwenye gari.
========
Lissu na CHADEMA ndio wanao panic. Nani awe Raisi? Mbowe hachaguliki na Lissu ndio hivyo. Hivi huwa hamuoni zile hasira?
 
Watanzania wengi ni matomaso, ukiwasimulia tu hivi hivi, hawaamini. Nashauri gari ya Tundu Lissu isibadilishwe muonekano wake baada ya kupigwa risasi, matundu ya risasi yabaki, gari itengenezwe injini tu na sehemu muhimu, ila sehemu zenye matundu ya risasi zibaki.

Hii itafanya watu wakifika katika mikutano ya hadhara, kwanza wapate somo kwa kuliangalia gari, kisha watajikumbusha madhira ya awamu ya tano. Gari hiyo itembezwe mitaa yote ambako mikutano inatarajiwa kufanyika, wananchi wayaone matundu ya risasi, halafu waamue wenyewe kuhusu awamu ya tano, na walinganishe na awamu ya Rais Samia ambayo Lissu anazurura huku na kule akimtukana kwa uzanzibari wake.

Pili, Lissu asipande gari hilo, kwa kuwa tayari lomeshaingia nuksi, ni sawa na jeneza.
Nasisitiza. Kama mnataka wananchi wawapige chini, mtajeni Magufuli
 
Sure, lile zee lilikuwa katili sana, kuna vijana wa TISS walifukuzwe kazi na wengine kupigwa shaba kisa tu hawakuweza kufanikisha uovu ule Mungu ni Mwema wengine wamerudi kazini.

Hivi unajua nguvu ya MaRais wa Africa?
Unadhani magu angetaka kumuua lisu angeshindwa?

Amri moja Tu angekuwa ashakufa,

Hata bomu lingepigwa kwenye ghorofa lake analokaa

Kwani ndege ya kumpeleka Nairobi iliondokea wapi?

First Aid alipata hospital?

Huko kote si wangemuua?
 
Watanzania wengi ni matomaso, ukiwasimulia tu hivi hivi, hawaamini. Nashauri gari ya Tundu Lissu isibadilishwe muonekano wake baada ya kupigwa risasi, matundu ya risasi yabaki, gari itengenezwe injini tu na sehemu muhimu, ila sehemu zenye matundu ya risasi zibaki.

Hii itafanya watu wakifika katika mikutano ya hadhara, kwanza wapate somo kwa kuliangalia gari, kisha watajikumbusha madhira ya awamu ya tano. Gari hiyo itembezwe mitaa yote ambako mikutano inatarajiwa kufanyika, wananchi wayaone matundu ya risasi, halafu waamue wenyewe kuhusu awamu ya tano, na walinganishe na awamu ya Rais Samia ambayo Lissu anazurura huku na kule akimtukana kwa uzanzibari wake.

Pili, Lissu asipande gari hilo, kwa kuwa tayari lomeshaingia nuksi, ni sawa na jeneza.
Nadhani hamjifunzi siri ya nguvu ya Makonda alipokuwa mwenezi!! Hakuthubutu kumponda Magufuli, hiyo ndo hali yenyewe. Pengine unatamani CHADEMA ipotee kwenye kipindi hiki kigumu; waambie wamponde Magufuli
 
Sawa bwana mikojo
 
Nasisitiza. Kama mnataka wananchi wawapige chini, mtajeni Magufuli
Alijaribu Kinana hivi majuzi akijibu hoja za Lissu. Na kila wakati alipoanza kuponda, makofi yalikuwa mawili matatu.

Alijirekebisha, alivyoanza kutaja miradi-ukumbi ukaamka- makofi na vifijo.

Nawashauri. Tizama tena Video ile na Usikilize kwa umakini.

Waambie hao. Magulification is here to stay. No matter what.
 
Back
Top Bottom