Gari ya Lissu iliyopigwa risasi, isibadilishwe muonekano, ikae ilivyo, ipelekwe katika kila mikutano ya siasa kukumbusha madhila ya Hayati Magufuli

Watanzania wengi ni matomaso, ukiwasimulia tu hivi hivi, hawaamini. Nashauri gari ya Tundu Lissu isibadilishwe muonekano wake baada ya kupigwa risasi, matundu ya risasi yabaki, gari itengenezwe injini tu na sehemu muhimu, ila sehemu zenye matundu ya risasi zibaki.

Hii itafanya watu wakifika katika mikutano ya hadhara, kwanza wapate somo kwa kuliangalia gari, kisha watajikumbusha madhira ya awamu ya tano. Gari hiyo itembezwe mitaa yote ambako mikutano inatarajiwa kufanyika, wananchi wayaone matundu ya risasi, halafu waamue wenyewe kuhusu awamu ya tano, na walinganishe na awamu ya Rais Samia ambayo Lissu anazurura huku na kule akimtukana kwa uzanzibari wake.

Pili, Lissu asipande gari hilo, kwa kuwa tayari lomeshaingia nuksi, ni sawa na jeneza.
Isiguswe iwekwe Makumbusho kwani gari hiyo inasema mengi kuhusu ukombozi wa Tanzania kutoka mkoloni CCM.
 
Alijaribu Kinana hivi majuzi akijibu hoja za Lissu. Na kila wakati alipoanza kuponda, makofi yalikuwa mawili matatu.

Alijirekebisha, alivyoanza kutaja miradi-ukumbi ukaamka- makofi na vifijo.

Nawashauri. Tizama tena Video ile na Usikilize kwa umakini.

Waambie hao. Magulification is here to stay. No matter what.
Magufuli and followers are bogus.
 
Watanzania wengi ni matomaso, ukiwasimulia tu hivi hivi, hawaamini. Nashauri gari ya Tundu Lissu isibadilishwe muonekano wake baada ya kupigwa risasi, matundu ya risasi yabaki, gari itengenezwe injini tu na sehemu muhimu, ila sehemu zenye matundu ya risasi zibaki.

Hii itafanya watu wakifika katika mikutano ya hadhara, kwanza wapate somo kwa kuliangalia gari, kisha watajikumbusha madhira ya awamu ya tano. Gari hiyo itembezwe mitaa yote ambako mikutano inatarajiwa kufanyika, wananchi wayaone matundu ya risasi, halafu waamue wenyewe kuhusu awamu ya tano, na walinganishe na awamu ya Rais Samia ambayo Lissu anazurura huku na kule akimtukana kwa uzanzibari wake.

Pili, Lissu asipande gari hilo, kwa kuwa tayari lomeshaingia nuksi, ni sawa na jeneza.
Wazo lako laweza kuwa zuri lakini ujue Tanzania kuna sheria za Barabarani zinazotoa muongozo kwa gari inayoruhusiwa kutembea barabarani iweje..
Zile risasi zilipasua kioo je gari itembee na kioo chenye matundu??

Pia milango imetobolewa kwa risasi je hujui ya kuwa milango ya gari ni sehemu ya usalama wa waliomo kwenye hilo gari?

Maonyesho ya Gari ni kitu kingine na sheria za barabarani ni kitu kingine
 
Kwamsingi huo ,GARI liwe ndo Mwenge kama mwenge ule wa koroboi ulitumika kumulika nuru kwa mataifa na tanganyika.

GARI hiyo,itumike kama mwenge kumulika nuru mpya au uhuru wa pili wa mtanganyika
 
Watanzania wengi ni matomaso, ukiwasimulia tu hivi hivi, hawaamini. Nashauri gari ya Tundu Lissu isibadilishwe muonekano wake baada ya kupigwa risasi, matundu ya risasi yabaki, gari itengenezwe injini tu na sehemu muhimu, ila sehemu zenye matundu ya risasi zibaki.

Hii itafanya watu wakifika katika mikutano ya hadhara, kwanza wapate somo kwa kuliangalia gari, kisha watajikumbusha madhira ya awamu ya tano. Gari hiyo itembezwe mitaa yote ambako mikutano inatarajiwa kufanyika, wananchi wayaone matundu ya risasi, halafu waamue wenyewe kuhusu awamu ya tano, na walinganishe na awamu ya Rais Samia ambayo Lissu anazurura huku na kule akimtukana kwa uzanzibari wake.

Pili, Lissu asipande gari hilo, kwa kuwa tayari lomeshaingia nuksi, ni sawa na jeneza.
Chadema hawawezi kuwa na akili hizo uliwashauri,ni watu ambao wamepoteza dira.
 
Kama ni kweli JPM alihusika, basi apewe maua yake!

Na iwapo tuhuma zile zilizokuwa zikielezwa kumhusu huyo.. zilikuwa ni kweli..,

Kivyovyote nchi ni kubwa kuliko mtu mmoja anayeshirikiana na beberu kuangusha Nchi yake

Na bado mambo hayo yanapaswa yaenziwe kwa wote vibaraka wawe wanavipatapata
 
Sure, lile zee lilikuwa katili sana, kuna vijana wa TISS walifukuzwe kazi na wengine kupigwa shaba kisa tu hawakuweza kufanikisha uovu ule Mungu ni Mwema wengine wamerudi kazini.
Mungu ni mema waliopigwa shaba, na waliofukuzwa qamerudi kazini, si ndiyo?
 
limekufq na linateseka huko
Unao uwezo wa kuona walipo wafu?

Wajinga kama wewe wamekuwepo kwa miongo mingi sana wala sikushangai we mwana wa wazuri hawafi.

Kwa mavumbi utarudi ipo siku yako utarudi mavumbini utamkuta huko yule unayemuita "limekufa na inateseka"

Nakutakia maandalizi mema ya safari ya kwenda huko mavumbini.
 
Wewe ni mpumbavu tu kwani kwa mtu mwovu baada ya kifo chake kinachofuata ni hukumu tu. Hata wewe kama ni mwovu kama alivyokuwa Magu ukifa ujue unakwenda motoni. Hakuna amani kwa watenda maovu
 
Mp

Mpumbavu ni wewe mwenyewe

Anayeujua uovu wa mwanadamu ni Mungu pekee na ndiye atakaye mhukumu mwanadamu. Wewe kajamba nani utahukumu panya na kunguni waliojazana nyumbani kwako.
Matendo yako maovu ndiyo hukumu yenyewe,umeambiwa usiue na ukaamua kuua basi hukumu unatembea nayo ukifa kinachofuata ni utekelezaji na kukazia hukumu tu. Huo utopolo wako walishe mapuruzai wenzeko watetezi wa yule dhalim ambaye kwa sasa anatumikia hukumu yake
 
Unamjua aliyeua wananchi kwa kuwamiminia risasi pale Kaloleni Arusha kwenye mkutano wa CDM?

Unamjua aliyewaua wamasai waliokuwa wanapinga kuhamishwa kule Ngorongoro?

Nakushangaa umekazana na JPM tu huku ukishindwa kulitazama kundu lako we zoba
Matendo yako maovu ndiyo hukumu yenyewe,
 
Tunachotakiwa kuhoji zaidi ni hawa tulio nao hai mpaka sasa, na Serikali ya awamu ya 6 haijawahi kuwafanya chochote kuhusiana na uovu walioutenda.
Huyu Mama ndio hapa anaponiboa anajifanya Mtu wa kufuata Sheria kumbe boshen tu.
 
Back
Top Bottom