silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,644
- 2,416
Ha ha haaaKurekebisha hiyo chuma, unanunua hivi vi BEBIWOKA vyetu
Kumbe uliona story zake na vile alikuwa analipamba kwa maneno ati likipata ajari hawezi kulala .Gari linapiga massage
Ova
Kimoja kwani?? SubutuuuKurekebisha hiyo chuma, unanunua hivi vi BEBIWOKA vyetu
Uwe unatembea na mawe kwenye dashboard.Mambo hayo, una gari yako nzuri alafu unakwanguliwa na li daladala au bajaji, tena sometimes wanakimbia kabisa.
Sasa ubaki kuongea nini?Mambo hayo, una gari yako nzuri alafu unakwanguliwa na li daladala au bajaji, tena sometimes wanakimbia kabisa.
Yes hapo ndo maana anachukua ushahidi kwajili ya watu wa bimaHizi gari za mlns of money lazima uwe na bima kubwa.Huyo mbunge si fala
Yeye, konda, abiria, wapiga debe, trafiki wote walikimbia inasemekanaVip uyo jamaa wa daladala kama ndo mwenye makosa