Gari ya Mbunge Taufiq Turky yapata ajali, ina thamani ya milioni 900

Gari ya Mbunge Taufiq Turky yapata ajali, ina thamani ya milioni 900

Kurekebisha hiyo chuma, unanunua hivi vi BEBIWOKA vyetu
Kuna jamaa wapo humu, kwenye ukoo wao ndiyo wamefanikiwa kununua hivyo vi BEBIWOKA, basi wana hasira sana wakiona hilo nenno kwamba vinadharauliwa, 😂!.
 
Kuna jamaa wapo humu, kwenye ukoo wao ndiyo wamefanikiwa kununua hivyo vi BEBIWOKA, basi wana hasira sana wakiona hilo nenno kwamba vinadharauliwa, 😂!.
Wasikasirike ndio ukweli, maisha kutofautina, kuna watu wana mandinga, kuna watu wana magari, kuna watu wana vibebi woka, kuna watu pikipiki, wapo wa bodaboda, wapo wa baiskeli, mpaka wa miguu
 
Mkuu sijui hio ya Mbunge ni version ipi. ila
2024 G63 AMG V8 Bi-Turbo ni $183,000 ambayo ni Tzs 475m
TRA wanachukua kodi 435m
Hapo jumla 900m+
Kama alinunua mpya na ni G63 AMG.
Aisee.. TRA wanagawana hela sawa na mtengenezaji! Ndio maana hawaoni sababu ya kuunda viwanda vya magari

Hii nchi ya kipumbavu sana
 
Na huyu atakuwa anajinadi kuwa ataenda mbinguni na kaapa kwa quruan wakati hana msaada wowote kwa wananchi wake wanaopigana na hali mbaya ya maisha wakati yeye anamiliki gari la 900mln,wajinga ni waliomchagua
 
Back
Top Bottom