Gari ya Mbunge Taufiq Turky yapata ajali, ina thamani ya milioni 900

Gari ya Mbunge Taufiq Turky yapata ajali, ina thamani ya milioni 900

Au labda wanadamu wamefanya yao baada ya kumsikia.
Waafrika yetu husda!
Punguza ujinga huyo ana pesa kibao za urithi, ukimuondowa Bakhresa wao ndio wana boti za kisasa za Dar Zanzibar.

Baba yake ndio alitowa pesa usd cash kuwakopesha Chadema za kukodi ndege ya dharura kumkimbiza Lisu Nairobi na mzee wake marehemu akiwa ni mbunge wa ccm.
 
Milioni mia tisa ni hela ya mstaafu wa ngazi gani? Hizo hela unajenga nyumba kali ya kuishi itakayodumu miaka zaidi ya mia moja lakini zimeteketea kwa muda mfupi! Hii ni kufuru
Vipi kama anaingiza milioni mia tano kwa siku, kuna shida akitumia kipato cha siku mbili kwa gari alipendalo?

Kama hakuwa na bima hatashindwa kununua jingine kama hilo. Hela kwake si tatizo.
 
Gari ya bei ghali, simu ya bei ghali ni ufahari mtupu! Vitu hivi havina maisha marefu bora ujenge nyumba utazeeka na kuiacha mpaka vilembwekezi watarishishana
Mkuu, ujue wazalishaji wa hivyo vitu vya gharama nao ni wafanya biashara! Wasipojitokeza wateja wa kuwaunga mkono kwa kununua bidhaa zao, hawataweza kuendelea na biashara. Na wakisitisha biashara, Serikali na wafanyakazi wao wataathirika. Waajiriwa watakosa ajira na Serikali itakosa kodi.

Jipange na wewe ili baada ya miaka kadhaa uvute la bilioni tano!
 
Hii naona ndio ile ilizuiliwa kwa kodi serikalini
Ila kwa matengenezo ni gharama kubwa mno
Ila kama katoka salama hayo mengine ni mapambo tu
 
Punguza ujinga huyo ana pesa kibao za urithi, ukimuondowa Bakhresa wao ndio wana boti za kisasa za Dar Zanzibar.

Baba yake ndio alitowa pesa usd cash kuwakopesha Chadema za kukodi ndege ya dharura kumkimbiza Lisu Nairobi na mzee wake marehemu akiwa ni mbunge wa ccm.
Punguza kiherehere.
Nilichoandika na ulichojibu havihusiani!
 

Huyu jamaa haeleweki. Nyuzi zingine hua analalamika tanzania tunashindwa kuendesha magari mazuri sababu ya kodi kubwa, tofauti na zambia, ambako kijijini kabisa kukuta fortuner ni kawaida. Sasa hapa kuna mfano halisi wa kwanini magari tz yanakuwa na bei kichaa kama hilo g wagon sababu ya ushuru anabisha. Anabisha kwa sababu ya experience ya south africa? Hapa tunaongelea gharama ya gari hilo likiwa hapa tz.
 
Back
Top Bottom