RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,337
- 138,962
$200,000 ni 520m hongera sana kama kwako ni hela ya kawaida.Kama ni chini ya usd 200 ni ya kawaida tu...
$200,000 ni 520m hongera sana kama kwako ni hela ya kawaida.Kama ni chini ya usd 200 ni ya kawaida tu...
Hapana haiwezi kufika hiyo bei Faza...Zipo ndio ninachosema kama mtu kanunua mpya G63 pamoja na ushuru inafika 900m. Kama used na spec za kawaida itakuwa bei nafuu.
Sawa mkuu.Hapana haiwezi kufika hiyo bei Faza...
Nakwambia hapa kwa magari yaliyo kwenye hatari hilo halipo hapa...naona umeamua kuniattack kama kawaida yako...$200,000 ni 520m hongera sana kama kwako ni hela ya kawaida.
ni kweli mkuu kimuonekano g class imekaa kama box tatizo lina mamlaka mnoHata iwe imeandikwa Class 7 au Grade 10, sioni milioni 900 hapo, gari imemang’anyuka kama keki?!
900mil. imekuwa haina thamani kiasi hiki?!
Pana pimbi mwingine analo jipya hapa anatoka Ijumaa anasubiri karatasi ukimwambia kuhusu awe na mia tisa ili amiliki atabaki kucheka tu..Sawa mkuu.
Haya mkuu jumlisha na hela ya kununulia
Aisee na hela zake unamuita pimbi.Pana pimbi mwingine analo jipya hapa anatoka Ijumaa anasubiri karatasi ukimwambia kuhusu awe na mia tisa ili amiliki atabaki kucheka tu..
Mfano wa Bebiwoka 😂😂Kurekebisha hiyo chuma, unanunua hivi vi BEBIWOKA vyetu
Huyo bibi ni wakumlomba tuWe Bi Ajuza kikongwe nilikua nakuheshimu lakini kumbe ni mpumbavu tu, unawashwa huna mtu wa kukukuna , you witless worm, clumsy old fool, hopeless deluded idiot
Hiyo gari alikua anadaiwa kodi Tsh 300m yeye anunue 300m ni 600 hiyo hapa unazungumzia nini?na TRA walitangaza kutaka kuuza na walitangaza kodi inayodaiwa..
Ni mwanangu sana nae ananiita pimbi pia..Aisee na hela zake unamuita pimbi.
Hahahh hadi trafiki wanakimbia msalaYeye, konda, abiria, wapiga debe, trafiki wote walikimbia inasemekana
Mimi nakwambia ile imeingia kwa 600 au 700 kwa kipindi kile sasa hivi kodi imeongezeka kutokana na kupanda kwa dollar ila bado mimi hilo hazifiki hiyo hela na kodi nimelipa..Haya mkuu jumlisha na hela ya kununulia
Tunaongea lugha mojaMimi nakwambia ile imeingia kwa 600 au 700 kwa kipindi kile sasa hivi kodi imeongezeka kutokana na kupanda kwa dollar ila bado mimi hilo hazifiki hiyo hela na kodi nimelipa..
Ndio maana kwenye ufafanuzi wangu nimesema na nimeweka bei ya mpya na G63, hio yake historia yake siijui, ila hii stori ya kudaiwa naikumbuka ili trend kipindi fulani.Hiyo gari alikua anadaiwa kodi Tsh 300m yeye anunue 300m ni 600 hiyo hapa unazungumzia nini?na TRA walitangaza kutaka kuuza na walitangaza kodi inayodaiwa..
Au labda wanadamu wamefanya yao baada ya kumsikia.Kumbe uliona story zake na vile alikuwa analipamba kwa maneno ati likipata ajari hawezi kulala .
Mungu si mwanadamu
Mkuu gari iliyogongwa sio hiyo unayoiweka wewe ya 2024 hiyo ipo Germany..Ndio maana kwenye ufafanuzi wangu nimesema na nimeweka bei ya mpya na G63, hio yake historia yake siijui, ila hii stori ya kudaiwa naikumbuka ili trend kipindi fulani.